Shoctopus
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 3,435
- 1,995
Nilipita Tabata Magengeni Jana nikanunua kg. moja ya nyama. Nilipoanza kuiandaa nikasikia harufu isiyo ya kawaida! Ni kama ile ya chumba cha kuhifadhia maiti.
Chonde chonde TFDA (na TBS) CHUNGUZENI hili jambo. Hata mizani yao pale inatakiwa ikaguliwe kwenye maduka ya kawaida, mabucha, na kwenye kitimoto.
Chonde chonde TFDA (na TBS) CHUNGUZENI hili jambo. Hata mizani yao pale inatakiwa ikaguliwe kwenye maduka ya kawaida, mabucha, na kwenye kitimoto.
Last edited by a moderator: