Textra message vs google message

Textra message vs google message

Hata Google anayo RCS sema wabongo wengi hawajajua na hawaitumii. Hiyo hiyo app ya simu ukienable rcs inafanya kazi kama iMessage, kama mtu akaenable rcs msg znaenda via internet na inakuwa na features zote za iMessage zile za typong, kutuma video picha voice note n.k. mm nimenable ila niwa tu wawili tu ndio nao wame enable
Ili msgs ziende kwa intaneti si inabidi huyo unayemtumia nae awe ameenable au ukienable tu ww inatosha?
 
Hata Google anayo RCS sema wabongo wengi hawajajua na hawaitumii. Hiyo hiyo app ya simu ukienable rcs inafanya kazi kama iMessage, kama mtu akaenable rcs msg znaenda via internet na inakuwa na features zote za iMessage zile za typong, kutuma video picha voice note n.k. mm nimenable ila niwa tu wawili tu ndio nao wame enable
Hata mimi nilikuwa sijui mkuu, mara ya mwisho natumia android sikuwa natumia app ya Google Messaging. Big up mkuu.
 
Hakuna SMS APP nzuri kama Mood Messanger! Vizuri uinunue au upate cracked ake kama utabahatika, Hii app ina features zooote unazokutana nazo huko kwenye sms app messangers nyingine tena na zaidi, ni nzuri sana na UI yake iko bomba na nyepesi sio nzito kuload! Naweza kusema nmejaribu karibia 70% ya SMS APPs zote za duka la Google Play Store ila Mood Messanger pekee ilinivutia, na mwaka 2019 niliamua kuinunua kihalali kabisa lifetime na sasa napokeaga beta na offical updates zote bila shida...

.....Ugumu wake upo kwenye kui customize tu ili upate raha ya kuitumia make ina tu setttings twingiii ila kama ww ni mtundu wa kuchokonoa simu at least lugha ya kutumia smartphones [kama uko familia na lugha ya kiteknolojia zaidi] hakika utaifurahia.. Unaweza backup sms na settings zote za app yako kwenye Google Drive wakati wote, hii itakusaidia ku restore chats zako endapo utapoteza simu/kuuza na ukaja pata nyingine..
 
Nimejarib hii mood
Matokeo yake nimefuta app ya textra hahaha
Ipo poa sanaaaa

Sent from my 220333QAG using JamiiForums mobile app
 
Nimejaribu zote Tetra na Mood,zote ni nzuri, Terta iko simple na light, Mood ina features nyingi zaidi na unaweza kuicustomise utakavyo, sema zote zinamiss kitu kimoja muhimu kwangu,device pairing,uwezo wa kuconect na pc,ambapo unaweza kutumia chrome kuacess sms, feature ambayo kwenye google sms iko vizuri.
 
Simu yangu naona ilikuja na vitu vizuri sana upande wa message hadi raha na kupiga nako hadi raha.
Screenshot_2022-06-08-22-15-40-96.jpg
 
Hapa nahisi mnaowaza hizo apps ni wamilikk wa infinix , tecno na itel
 
Hapana bana m napenda good chatting theme
Nishatumia iphone, samsung (nilitumia sana textra) saizi nipo na xiaomi ndo nimeanza na mood

Tazama mfano hio chatting hapo chin halafu ulinganishe na google message au samsung message
Hata imessage haigusi hapo
IMG_20220608_224253.jpg

Back
Top Bottom