Teuzi za Rais Samia kulikoni?

Safi sana mkuu huyu hana hoja ni mtu mwenye chuki sana tazama post zake nyingi ni za masononeko, kifupi huyo ana sonona hivyo ni wa kumpa tiba ili apone huo ugonjwa wake.
 
Huna kitu unacho kijua. Bora utulie kama umeshindwa kujikita ktk Mada.
Wewe ndio ukae kimya acha kufanya watu majuha humu chuo chenyewe umemaliza juzi tuu unapagawa na maisha halisi na si yale ulivyokuwa ukiyafikiria chuoni.
 
Safi sana mkuu huyu hana hoja ni mtu mwenye chuki sana tazama post zake nyingi ni za masononeko, kifupi huyo ana sonona hivyo ni wa kumpa tiba ili apone huo ugonjwa wake.
Ulivyo panic utadhani ww ndie Rais. Mm post zangu zote ni kutoa suluhu. Siyo zako za umbea wa kitoto.

Afu uka jiendeleze ki elimu ili ujue kujenga hoja. Siyo ki degree cha ku kariri.
Comment zako hujibu hoja una bwabwaja tu kama mtoto wa kike.
 
Wewe ndio ukae kimya acha kufanya watu majuha humu chuo chenyewe umemaliza juzi tuu unapagawa na maisha halisi na si yale ulivyokuwa ukiyafikiria chuoni.
Angalia Post zako. Zina onesha ni Form 4 Failure
 
Safi sana mkuu huyu hana hoja ni mtu mwenye chuki sana tazama post zake nyingi ni za masononeko, kifupi huyo ana sonona hivyo ni wa kumpa tiba ili apone huo ugonjwa wake.
Tatizo la watanzania wengi ni unafiki. Wakati baraza la mawaziri la awamu ya tano lilipokuwa na mawaziri 23 = waislam 3 tu, na wakristo 20 mleta mada hakuliona hilo na kulikemea ili lisije kuligawa taifa. Wakati baraza la mawaziri la awamu ya 6 limejaribu tu kuleta angalau kabance kidogo ili angalau kuleta sura ya utaifa badala ya ile sura ya uvatican iliyokuwepo awamu ya 5, mleta mada ndo amekuja chap chap kutetea imani yake, bila kujua kwamba pamoj na mabadiliko yaliofanyika ili kuweka sura ya kitaifa lkn bado baraza la mawaziri, manaibu waziri na makatibu wakuu wengi ni wa amani yake.
 
Attachments

  • Screenshot_20220717-210521.jpg
    59 KB · Views: 16
  • Screenshot_20220717-210605.jpg
    58.4 KB · Views: 15
  • Screenshot_20220717-210649.jpg
    52 KB · Views: 12
  • Screenshot_20220717-210702.jpg
    51.9 KB · Views: 15
Nchi ina wajinga wengi sana ambao wamechanganyikiwa na hawaelewei wanataka nini.
Inasikitisha sana.
 
Ulivyo panic utadhani ww ndie Rais. Mm post zangu zote ni kutoa suluhu. Siyo zako za umbea wa kitoto.

Afu uka jiendeleze ki elimu ili ujue kujenga hoja. Siyo ki degree cha ku kariri.
Comment zako hujibu hoja una bwabwaja tu kama mtoto wa kike.
Mkuu vipi tena mbona post zang zote mbili umezipita kimya kimya bila mchango wako au ufafanuzi wa zile teuzi zilizokuwa zinafanywa na serikali ya awamu ya 5 chini ya hayati dr John P Magufuli. Nimeona post namb #41 umeiruka, nikaandika nyingine namb #47 pia umeikimbia. Sasa sijui lengo la thread yako ilikuwa kukemea ubaguzi wa aina yoyote au ule uliohisi tu umefanywa na waislam pale wanapojaribu kubance mambo ili kuleta sura ya utaifa ktk uongozi. Hapo hatujagusa ukabila, ukanda nk.
 
Hana hoja za kukujibu amekurupuka
 
Ulivyo panic utadhani ww ndie Rais. Mm post zangu zote ni kutoa suluhu. Siyo zako za umbea wa kitoto.

Afu uka jiendeleze ki elimu ili ujue kujenga hoja. Siyo ki degree cha ku kariri.
Comment zako hujibu hoja una bwabwaja tu kama mtoto wa kike.
Mwaka uliomaliza chuo wengine ndio wajukuu wetu ndio wanaanza ajira zao.
Sasa bwana mdogo usiejua wala kuwahi kuwa na majukumu ya kibaba hauwezi kuwa muda wote humu unalilia mambo ya udini kama ndugu yako MK254
 
maelezo marefu bila ya Takwimu ni uchochezi
Kwani hizo takwimu anayo hata majibu yake basi huyu kapagawa ndugu zake wametumbuliwa waliokuwa wakimuweka mjini sasa anahaha tu
 
Ongeza bidii katika kazi, acha majungu
 
Mama samia hawezi kuwa Mdini nina uwakika angekuwa Mdini asingefika
Waliompigia kura Ndani ya ccm wengi sana ni wakristo na walifanya hivyo kwa kuwa alikuwa na sifa ya uongozi na sio sifa ya kuwa Mdini
Nina wakumbusha sisi na waislamu ni ndugu hakuna Tatizo kama akiteua muislamu kuwa katibu mkuu kwani akifika huko anaende kuwafundisha watu Madrasa?
Tuacheni utoto wa ajabu ajabu
 
Karne hii mnazungumzia dini serikalini
Kwani wanateuliwa wakahubiri injili!
Siku wakijivua dini zao napo lalamikeni
 
Usalama wa taifa wako wapi,wao ni dini gani
 
Kuna wakristo wema Sana na waislam wastaarabu Sana. Uduni Haina nafasi. Mleta uzi akianza vzr.anaharibu kwenye hili... point muhimu aliyoanza nayo nilianza kumuelewa kuhusu tabia ya kuteua teua. Isitoshe Huwa anapelekewa majina tu. Na ukweli ndio huo wakina mavura walipewa ubalozi Kwa fadhira tu...

Huyu jamaa anaandika Andika upumbavu gani sijui...namjua sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…