Teuzi za mchongo

Teuzi za mchongo

Ngengemkenilomolomo

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2015
Posts
313
Reaction score
533
Wakuu
Hizi teuzi za bi mkubwa sijaona cha maana yan ni kama anagawa peremende za shukran kwa waliofanikisha kukalia kiti
watanzania tuna matakwa mengi mno anakuja kutuletea eti wizara ya mahusiano,mahusiano gani sasa kama kuna hyo wizara ina maana wizara ya gwajima haitoshi au imezidiwa?
wizara ya vijana ya nini?
yn hana uchungu na kodi za watanzania wala hana uchungu na tanganyika yan unataka akija kurudi zanzibar awe kama wazungu wachimba dhahabu wakirud kwao wanaacha mashimo tuu
alafu sasa mbaya zaidi hana haya wala aibu
tuna kiongozi dhaifu na wa hovyo kuwahi kutokea tangu tanganyika tumepata uhuru
nawaza hawa wanajeshi hivi hawaoni kabsa wanavobagazwa na kubanangwa kwny nchi yao

nitaendelea kumlaumu magu kila siku maana huu msala angeweza kuukwepa lakini akatuuza
 
Ukisikia kupatwa kwa Tanganyika, ndiyo huku sasa.
 
Back
Top Bottom