Tethering inafanyaje kazi

Tethering inafanyaje kazi

ligimilo

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2012
Posts
301
Reaction score
75
Wakuu nimejaribu ku google, nimesoma maelekezo ya namna ya kupata internet kwenye Laptop kwa kutumia connection iliyopo kwenye smart phone, yaaani "tethering" but sikufanikiwa.

Naomba maujuzi zaidi kwa hii kitu kwa mwenye uelewa.
 
Maana ushaijua. Taja aina ya simu yako usaidiwe.
 
Washa hotspot yako kwenye simu then Washa wireless ya computer yako,computer yako itasoma jina la hotspot yako then uta connect. Utaingiza password za hotspot yako ambazo utaziona pale tu utakapotick sehemu iliyoandikwa show password.
 
Thanx Mkuu Kapolo, nimeelewa but sjajua namna ya kuwasha wireless ya kompyuta yangu, hebu njuze hapo. Namaaanisha hotspots ipo poa ila ishu ipo kwenye laptop
 
Una wireless card and driver installed?
 
Unganisha simu yako na kompyuta/laptop kwa kutumia USB. Kwenye simu yako ingia Settings>More>Tathering & Portable hotspot>USB tethering. Uki tick kibox cha USB tethering utakuwa umeruhusu laptop yako itumie internet ya simu yako, so apo simu itakuwa inafanya kazi kama Moderm.
Kwenye laptop yako utachofanya ni kuperuzi tu moja kwa moja
 
Download any wifi portable hotspot kutoka google play. enable it au click connect kwenye simu yako. Ukifanya hivi nyingi zinafanya connection automatically
 
Unganisha simu yako na kompyuta/laptop kwa kutumia USB. Kwenye simu yako ingia Settings>More>Tathering & Portable hotspot>USB tethering. KWELI MKUU, HII YA KUTUMIA USB CABLE NDO NJIA NYEPESI.
 
Back
Top Bottom