Hapo kwa Simba ni changa la macho.....1. Inaelezwa kuwa kiungo wa Young Africans Aziz Ki ameongeza mkataba wa miaka miwili na timu hiyo
2. Klabu ya Azam na Young Africans zinamuwania beki kisiki wa Coastal Union Lameck Lawi
3. Kuna uwezekano winga wa Simba Sc, Aubin Kramo akapelekwa kwa mkopo Zesco United ya Zambia
4. Kiungo mchezeshaji raia wa Gambia, Foday Trawally anaweza kujiunga na Simba Sc kwa mkataba wa miaka 3
5. Winga matata kabisa, Cheickina Diakite anaweza kujiunga na Simba Sc
6. Kiungo mkabaji wa Singida Black Stars anawindwa na Young Africans kuchukua nafasi ya Zawadi Mauya atakayetupiwa virago
Kwaiyo makolo wanataka kusajiri kikosi kizima.!1. Inaelezwa kuwa kiungo wa Young Africans Aziz Ki ameongeza mkataba wa miaka miwili na timu hiyo
2. Klabu ya Azam na Young Africans zinamuwania beki kisiki wa Coastal Union Lameck Lawi
3. Kuna uwezekano winga wa Simba Sc, Aubin Kramo akapelekwa kwa mkopo Zesco United ya Zambia
4. Kiungo mchezeshaji raia wa Gambia, Foday Trawally anaweza kujiunga na Simba Sc kwa mkataba wa miaka 3
5. Winga matata kabisa, Cheickina Diakite anaweza kujiunga na Simba Sc
6. Kiungo mkabaji wa Singida Black Stars anawindwa na Young Africans kuchukua nafasi ya Zawadi Mauya atakayetupiwa virago
7. Kiungo wa Raja AC, Abdelhay Forsy anatakiwa na Simba Sc kwa mkopo
8. Klabu ya Singida Black Stars imemsajili Mlinda lango wa Horoya AC ya Guinea, Mohamed Camara na inakaribia kumnasa beki wa kushoto Imoro Ibrahim
9. Young Africans SC inakaribia kuinasa Saini ya beki wa kushoto kutoka Asec, Frank Zouzou
10. Beki WA kati raia wa Mauritania, Lamin Ba anafatiliwa kwa karibu na Simba SC
11. Henock Inonga anakaribia kujiunga AS FAR ya Morocco kama mambo yatakwenda vizuri
12. Simba SC inaangalia uwezekano wa kumsajili beki wa RS Berkane, Issofou Dayo
13. Simba SC inamfukuzia kiungo mshambuliaji , Augustine Okejepha
14. Derick Fordojou ni mnyama
15. Rodgers Torach, anakaribia kujiunga na SC
16. Mohamed Damaro Camara anafatiliwa kwa ukaribu na Simba SC
Ondoa Aubin Kramo na Miquison kwenye hiyo listi yako hao bado ni wachezaji wazuri ambao wanaweza kuisaidia sana Simba msimu ujao. Ila Ongeza Babcar Sarr kwenye list yako kwa wale wa kuondolewa Simba. Na hapo kumrudisha babu Onyango weka beki mmoja king'ang'anizi mwenye akili kubwa sana ya mpira kama sikosei anaitwa Tamim anatoka Nigeria yupo IhefuNingekua kiongozi pale simba dirisha dogo ningewachukua
Elvis rupia, marouf tchakei, jackson kagoma, bruno gomez, yanick bangala na nikamrudisha babu onyango halafu ningewatoa
Aubin kramo, luis miquisonne, essomba onana, sadio kanoute na saidoo ntibanzokiza
Trust me CAF tusingepigwa nje ndani, FA tusingetolewa na ubingwa tungeendelea kuufukuzia
Hata Jobe na Fred Magoli hali ilikuwa hivi hivi.Simba Sc inawania Saini ya striker Mzambia Rick Banda
Huyo jinga asije tena, potelea pote abaki Mnata.Huyo Kakolanya asikanyage tena Yanga
Mnata wa Jemedari Said 😁Huyo jinga asije tena, potelea pote abaki Mnata.
Hawajatemana...Mnata wa Jemedari Said 😁
AnakujaHuyo Kakolanya asikanyage tena Yanga
Hata Jobe na Fred Magoli hali ilikuwa hivi hivi.
Sioni shida ya Fred mbali na mihemko ya watu wasiojua mpiraHata Jobe na Fred Magoli hali ilikuwa hivi hivi.
Marouf TchakeiKiungo ànayewaniwa kutoka singida black stars ni nan huyo?