Mhujumu Uchumi
JF-Expert Member
- Sep 14, 2014
- 1,541
- 3,523
Habari wadau: Kwa "Applicants" Wote ambao Mmechaguliwa Kwenye Chuo zaidi ya kimoja na hamjapata code kwaajili ya Ku-confirm, Uvumilivu unahitajika na Muwe wapole. Kila mtu kwa sasa anajua watu hawajapata codes na hata waliotuma wanajua hivyo hazijafika kwa baadhi ya wanafunzi. Kikubwa cha kufanya ambacho ni kama ushauri haijatolewa kama "Public Notes" Mnatakiwa kuwasiliana na chuo ambacho ungependa Ku-CONFIRM ili wakupe hiyo code, Mana hiyo code kutoka TCU imetumwa na chuoni kwako ambako Uliomba. UDOM tayari wapo kwenye mchakato wa kutuma hizo codes mpya na walisema wataanza jioni hii. Kila la kheri MSIZIME VIMEO, WEKA CHAJI IKIWA "ON"