Mlaleo
JF-Expert Member
- Oct 11, 2011
- 16,378
- 13,198
Nimesikia kuna tetesi Yanga wanamtaka kocha wa Simba atue Jangwani kuifundisha yanga baada ya kuona ni Kocha Atakayewafaa..... je ni kweli?
Maana walimtaka Okwi wakampata Kaseja wakampata sasa wanamtaka Kocha... lol Simba wanahijati kuwawekea Mikataba ya maisha watu wao wasije gusa kitu kinachoitwa Yanga na huo ndio utakuwa mwisho wa Uhasama..... Manji ni Noumer japo najua kwa hili hatoweza hata kwa pesa zipi...