Tetesi: Yanga kumchukua kocha wa Simba

Tetesi: Yanga kumchukua kocha wa Simba

....nyie fukuzaneni wee sasa mtu akizidiwa na viungo makini mnafukuza. Beki akipigwa chenga mnafukuza, itafika mahali itabidi msajili vimada wa Bin Kleb na Mwizi wa magari sefu ndo wacheze !!

Huyo fisadi wa EPA aliingia madarakani kwa mbwembwe kuwa atalipa 5-0 sasa licha ya kuhonga marefa ameweza ambulia 3-3 na kulambwa 3-1 na sasa anasema hagombei tena. Mtajuta kumtimua huyo kocha, na kusajili players kwa ajili ya masifa badala ya kuangalia mahitaji ya timu !!
 
Back
Top Bottom