Tetesi ya kuondolewa huduma ya magari ya Bolt

Maisha yataendelea kama yalivyokuwa hapo awali, hakuna kitu kikubwa litakalobadirisha maisha kwa sababu bolt hawapo, hata wale Uba mlilalamika the same jana au leo umeona kuna kitu gani?.

Ndiyo ujue kwa nini ccm wakiamka wanata maamuzi!, Ni kwa sababu wanawafaham watanzania ni sekunde tu mnasahau na kuendelea na maisha
.
 
Mi nachoshukuru mmelewa kutaja makampuni ya watu mi Sina hela nkiperekwa mahakamani nilipishwe fidia nianze kuliaa Kama Sina [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sema changamoto inakuja kwenye ajira za vijana ambao waliweka maisha Yao huko ndio wanaita utumwani ila tayari walipunguza rate ya utegemezi kwa ngazi Fulani hususani kwa jiji la Dar es salamaa impact itakua ni kubwa Sana
 
We ndo wa hovyo kuliko mtoa post,

Jf ni platform ya uwazi mtu anatuwekea vitu havieleweki na wewe unasapoti usichojua
Kijana niliwahi kufanya kazi Jumia Online shopping kama Website Administrator wale jamaa walifunga platform kwasababu ya upumbavu wa viongozi wachache hapo bongo, kama unakumbuka walikuwepo Brighter Monday nao walifunga kampuni kwasababu ya upumbavu wa viongozi wako, wamekuja Uber wamefunga na sasa Bolt wanaenda kufunga kampuni so acha ujuaji kuna watu tunaijua Tanzania kuliko unavyofikiri mpaka nakuja Canada niliacha kazi hapo Ofisi ya Taifa ya Takwimu so huna cha kunidanganya kima mkubwa wewe.
 
.....Kati Kati...!
....katikati...inapendeza zaidi.
....nazani...!
....nadhani...inapendeza zaidi.
Kunajamaa alikuwa akijitapa kuwa eti watanzania tunajua kiswahili vizuri sana.
Kunajamaa

Kuna jamaa itapendeza zaidi
 
Kijana niliwahi kufanya kazi Jumia Online shopping kama Website Administrator wale jamaa walifunga platform kwasababu ya upumbavu wa viongozi wachache hapo bongo, kama unakumbuka walikuwepo Brighter Monday nao walifunga kampuni kwasababu ya upumbavu wa viongozi wako, wamekuja Uber wamefunga na sasa Bolt wanaenda kufunga kampuni so acha ujuaji kuna watu tunaijua Tanzania kuliko unavyofikiri mpaka nakuja Canada niliacha kazi hapo Ofisi ya Taifa ya Takwimu so huna cha kunidanganya kima mkubwa wewe.

kaka naomba conection
 
Ni kweli madereva wanawaibia sana, wanatumia mtandao kumpata mteja, mnaelewana Bei, then anakushauri ucancel alafu anakupeleka bila pesa kuingia kwenye campuni, nadhani Itakua Moja ya sababu, wabongo nuksi, hawashindwi kitu.
Solution is simple, kwa abiria anaye-cancel route bila sababu za msingi apigwe penalty ya 30% kama changamoto ya hzo fraud zina-originate hapa, then in the future hakuna abiria atakayekubali kupigwa penalty kumfaidisha dereva.
 
Kwani zaidi ya servers, kuna niji cha maana wanagharamika, mi huwa sielewi
Kuna gharama nyingi tu wanaingia,Example
  • Kulipia gharama za majengo ya ofisi.
  • Kulipa benefits mbalimbali za staffs wao.
  • Lazima watengeneze profit ya Kulipia shareholders wao.
  • Kulipia gharama za riba kwenye mabenki kama gharama ya mitaji waliyokopa.
  • Kulipia Kodi na tozo Halali zinazohitajika kisheria.
  • Operational costs mbalimbali kama gharama za mafuta,umeme,simu,maji,safari, etc.
*Nadhan kwa uchache haya yanahusika.
 
Hapo ulichoongea chenye mantiki ni hicho cha kwanza tu cha kodi za ofisi. zingine zote ni baseless. Kulipa benefits za staff hiyo ni benefits zao wao, ni kama useme kujilipa mshahara, yaani pesa unachukua mwenyewe halafu ulalamike.

Hiyo kutemgeneza profits za shareholder wakati na wao wenyewe, yaani profit mnachukua myie wenyewe halafu mlalamike tena wakati nyie wenyewe mnaomiliki kampuni ndio mnachota pesa.

Hiyo riba kwenye mabenki ni kwamba kama umetumia pesa ya bemki au ya kwako hiyo ni juu yako, maana mwisho wa siku unaingiza pesa, ni wewe uamuzi wako wapi unatoa mtaji, besides kama huna mtaji to start with, unatofauti gani na mwingine yeyote anaeuza karanga barabarani.

Hizo kodi na tozo unakatwa baada ya kuwa umeingiza pesa, huwezi kudaiwa tozo au kodi wakati hujaingiza kitu. Hayo mafuta na matengenezo ya magari ni gharama za mwenye gari, wao hawamiliki gari hata moja, zaidi wanamiliki servers na hiyo app tu.
 
Mkuu, sikuwahi kudhan una uelewa wa kiasi hiki. Very sorry.
 
Back
Top Bottom