(TETESI)Watanzania walioko Rwanda matatani?

(TETESI)Watanzania walioko Rwanda matatani?

zefounda

Member
Joined
Nov 26, 2012
Posts
97
Reaction score
19
Asubuhi hii nimepata taarifa na ndugu yangu aliyeko Mutukula kwamba watz waliopo Rwanda wamepewa siku mbili kuondoka nchini humo na nyumba zao zitavunjwa. Wanajf wenye taarifa kamili waliopo pande hizo watujuze kama ni kweli au la.

Source:jamaa yangu wa Mutukula Bukoba
 
mutukula na rwanda wapi na wapi?

Dunia kama kijiji. Mawasiliano ya kila aina. Sasa hivi naangalia kuhama kwa wanyama huko Serengeti/massai mara kupitia CCTV China...
 
Tunavuna tulichopanda,mlifikiri hakuna ndugu zetu huko?
Tumepanda kitu gani! Wewe mtusi nini! Wanyarwanda wanyama wale si binadamu wale. Ndg zetu rudini nchini kwetu kwani rwanda ina nini bhana????
 
mi nlijua upo rusumo kumbe mtukula. Rwanda hakuna watanzania wanao ishi kinyume cha sheria. Wangekuwa washafungwa tayari. kumbuka wanyarwanda wana kalanga muntu na wilaya hadi wilaya kuna beria. huna pa kujificha. kama wanafukuza ni watafukuza wanaoishi kisheria. mia
 
Inabidi serikali itutangazie kama inasitisha mahusiano na Rwanda sio mtu unaenda huko kikazi unaishia kutimuliwa kabla hata haujatoka airport.
 
Yumkini ni wahamiaji haramu, othewise warudi nyumbani kwani TZ ni bora kuliko Rwanda thts why Wanyarwanda wamejaa Tz kuliko nchini mwao. Kama nchi ingepimwa kwa ukubwa wa eneo basi Rwanda haina sifa ya kuitwa nchi bali Wilaya au tarafa kwa vpimo vya Tanzania. Though source ya thread yako inabaki kuwa tetesi.
 
Tusubiri uhakika tujadili, hatuwezi fanyia kazi tetesi kwa mambo ya msingi.
 
Hahaha kuwa mtutsi ni dhambi? Jenga hoja kai kushinda vijiweni tu

Tumepanda kitu gani! Wewe mtusi nini! Wanyarwanda wanyama wale si binadamu wale. Ndg zetu rudini nchini kwetu kwani rwanda ina nini bhana????
 
Hahaha kuwa mtutsi ni dhambi? Jenga hoja kazi kushinda vijiweni tu

Tumepanda kitu gani! Wewe mtusi nini! Wanyarwanda wanyama wale si binadamu wale. Ndg zetu rudini nchini kwetu kwani rwanda ina nini bhana????
 
sasa sie tunaokula papuchi za kinyarwanda na zenyewe tuziache?
Hivi hawajui zilivyokuwa tamu ajabu
 
Watutsi ni wanyama anayewashabikia ni mumo humo. Watanzania na warudi kwani hatuna shida waliyonayo ya ubaguzi na uuaji
 
Tunavuna tulichopanda,mlifikiri hakuna ndugu zetu huko?

Wapo wangapi sasa. Wana mifugo mingapi huko? Unaweza ukute ni madereva wa mafuso. si wawashe tu magari yao waondoke huko!? Wakitaka kumtimua hata yule waziri wao Mtanzania arudi tu kufundisha UD. where is the problem!
 
Jamani mlioko huko mtujuze kama ni kweli, maana wengine tuko njiani tunakuja kibiashara, ingawa ukweli tutaupata Rusumo
 
Asubuhi hii nimepata
taarifa na ndugu yangu aliyeko Mutukula kwamba watz waliopo Rwanda
wamepewa siku mbili kuondoka nchini humo na nyumba zao zitavunjwa.
Wanajf wenye taarifa kamili waliopo pande hizo watujuze kama ni kweli au
la.

Source:jamaa yangu wa Mutukula Bukoba

Hatuhitaji ushahidi wa taarifa hizi .... Mtusi yaani mtu mtoa matusi hata kama ni Rais ... kuwaza kufanya hivi haishangazi.
 
Back
Top Bottom