environmental
JF-Expert Member
- Oct 11, 2010
- 1,054
- 137
Unajua viongozi wetu wanafanya vitu bila kufikiri inatia aibu sana.unajua kuna watanzania wengi wafanya biashara huko.sasa hawawezi kuondoka na vifaa vyao kama mlivyofanya kwa wanyarwanda walioshindwa kuondoka na ng'ombe zao.Mpende jirani yako kama unavyojipenda mwenyewe.Sisi tunawapenda wachina,wairan,waarabu,wazungu,watu kutoka west africa.Lakini huyu ndugu yetu na jirani yetu hatumtaki.Tumepanda mbegu mbaya,na itatutafuna mpaka watoto wetu wanaokuja.Mungu tupe busara