Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 56,667
- 30,582
Hii iimetokea wiki iliopita nikienda kumwangalia ndugu yangu hii hospt
nkakuta malalamiko kibao uongozi wa dk na ufwatiliaji wake..kwa msiojua hii hosp soon itafungwa ama wao kufunga baada ya vifaa muhimu vyote kurudishwa muhimbilii
habari zinasema mmmiliki wa hosp hii ni dk mmoja w a muhimbili na amekuwa akipeleka wagonjwa pale badala ya kutibiwa muhimbili...kwa hili naomba niweke wazi mm n mmoja wao niliumwa sana sikio akaniulza na kadi gani nkaonyesha akaniambia njoo kesho saa fulani mbezi bosch..nilipenda sana hosp ile ingawa ilikuwa na garama kubwa sana
aikuwa msaada kwa maskini wa hali ya chini kuweza tibiwa pale..watoa taarifa wanasema zilipelekwa taarifa ikulu wana machine nyingi tu za muh walinunua..kumbe mashine zinaambiwa zimearibika unawekwa mnada wanaagaiana wenyewe kwa wenyewe na kupelekwa hosp zao
tunaomba waziri wa afya fwatilia hili na kama kweli basi waangalie na vitanda vya pale pengine vya muhimbilii.....
Kwa mnaojua mkurugenzi wa kukaimu pale hosp ya cancer ameondolewa ama kunyofolewa ama watoto wamjini wanasema katumbuliwa kwa mgongano wa maslahi na hosp zake na maduka kadhaa yake ya biashara za dawa kumbukwe madawa ya cancer yanapelekwa wanapewa kidogo wanambiwa yameisha wanasubiri bohari jaman kumbe wanapeleka hosp
alieondoka huko nyuma dk mmoja nae ana hosp kubwa tu mwenge ya kutibu cancer na kama watafwatilia basi hata vifaa vya oceanroad watavikuta
waziri wa afya embu fwatilia hii hosp ya mwenge .....
Nb;atukatai kuwapo na maduka yao lakini wasitese wananchi kwa kupeleka dawaa za bure kwenye maduka yao hili no