There's something cooking. Yawezekana ni muendelezo wa Alikiba kukaa vitu vilivyofutwa vumbi na Dangote Mr. Diamond Platinumz. Eti kaka Alikiba kaambiwa akikaa viti hivi na yeye nyota yake itang'aa kama ya Dangote.
Duuuh umeshituka na kirambasi kimekuinuka au umeona wivu kibamia cha bwana ako nimekiona? Usiwe na wasi yule kiba futa vumbi mm ni Daktari nilimtolea govi juzijuzi alipotaka kwenda south afrika kwenda kutoa video ya mwana kwani hairuhusiwi kwenda na govi nchi za watu

Mtoa mada si una maana Ali Kei anapita mulemule alipopita Chibu ili nyota yake na yeye ing'ae km Chibu au nimeelewa vibaya mtoa mada?
😀😀 😀😀 😀😀 😀

   
Kwa mtazamo wake Ali Kei anadhani nyota ya Diamond imeng'aa kutokana na mahusiano na hao wadada, hivyo nae kaamua kupita humo humo ili ajaribu bahati yake.