Tetesi payroll za mwezi kuna nyongeza ya mshahara

Tetesi payroll za mwezi kuna nyongeza ya mshahara

Davety

Member
Joined
Dec 14, 2018
Posts
76
Reaction score
70
wakuu poleni na majukum ya kitaifa.
kuna tetesi kwamba mshahara wa mwezi huu umeongezeka je hizi fununu zina ukweri?
 
chonde tu msikimbilie kukopa saccos, kwa mangi na kuongeza idadi ya cgupa za K-vant kabla kuwa na uhakika.
 
Waajiliwa hakuna wanachowaza zaidi ya kuongezwa mshahara tu. Ndugu zangu waajiliwa jiongezeni hata kwenye ufugaji na kilimo mshahara hauongezwi mpaka mwakani muhula wa mwisho kipaumbele ni kwenye mirad ya ujenz tu.
 
Kilimo ukimuamini mtu unapigwa..!dah!changamoto sana!
 
Wanaodai kupandishwa daraja ndio mwezi huu wengi wamecheka..serikali yetu ni sikivu Sana😂
 
Back
Top Bottom