Kuna tetesi Nape na Mwigulu wameandaa mkutano Igunga ambao utahutubiwa na vijana hao siku ya Jumapili 09/09/2012.
Cha muhimu wananchi wa huko wategemee nini kipya kutoka kwa hawa jamaa kama sio matusi stori za mauaji ya Moro na Iringa na kingine labda watatoa tamko la Chama kukata rufaa juu ya kupinga kwa kafumu kutenguliwa ubunge wake.
lakini cha kushangaza Mwigulu baada ya Ushindi alitoa kauli chafu kwa wanchi wa Igunga kwa kusema WAMEPIGA MBWA NA MWENYE MBWA sasa sijui ataitengua vipi kauli hii ambayo wananchi wengi bado ipo mioyoni mwao
wanaweza wakajifanyia fujo na kusingizia cdm
Vijana sampuli ya Mwigulu, Nape, Zitto, Kigwangala, Nchimbi na Mrisho Gambo kweli ni aibu kama viongozi. Ndio maana mizee kama Wassira, Tendwa na Kingnge inajiona bado wamo.
Niko nje ya mada hii kidogo, lakini nataka kuonesha kuwa vijana wetu lazima waoneshe uwezo na ubora angalau nusu ya Mnyika ili tuweze kuwapa dhamana ya kuongoza.
Kuna tetesi Nape na Mwigulu wameandaa mkutano Igunga ambao utahutubiwa na vijana hao siku ya Jumapili 09/09/2012.
Cha muhimu wananchi wa huko wategemee nini kipya kutoka kwa hawa jamaa kama sio matusi stori za mauaji ya Moro na Iringa na kingine labda watatoa tamko la Chama kukata rufaa juu ya kupinga kwa kafumu kutenguliwa ubunge wake.
lakini cha kushangaza Mwigulu baada ya Ushindi alitoa kauli chafu kwa wanchi wa Igunga kwa kusema WAMEPIGA MBWA NA MWENYE MBWA sasa sijui ataitengua vipi kauli hii ambayo wananchi wengi bado ipo mioyoni mwao
acha wakaaibike mkuu huko labda wasombe watu kwa maroli na wawapikie ubwabwa.
Rostam azizi si alisema nape asikanyage igunga ????
Upo sawa kabisa! kwani kuna jamaa kanitumia sms anasema kuna polisi wageni wamepelekwa huko na vijana wengi wa CDM wameshauriwa kutokwenda katika mkutano huo kwani kuna dalili za kulipiza kisasi kwa yaliyotokea Ndago.Nategemea tukio la namna hiyo!