Tetesi: Manji afika International School akiwa chakari

Kiranja

JF-Expert Member
May 19, 2007
751
336
Kuna taarifa kwamba Yussuf Manji leo asubuhi amefika International School of Tanganyika akiwa amelewa chakari. Kwa kuwa alimfuata mwanae, walinzi walimsitiri na kumrudisha nyumbani.
 
Hakuna kitu shetani anachoshindwa kufanya kwa mtu anayemtumikia.Kama alimfanya aibe pesa ya maskini hawa wa Tanzania,hakuna shaka kabisa kwamba anaweza kumfanya alewe chakari mchana kweupe!

Kuna taarifa kwamba Yussuf Manji leo asubuhi amefika International School of Tanganyika akiwa amelewa chakari. Kwa kuwa alimfuata mwanae, walinzi walimsitiri na kumrudisha nyumbani.
 
jamani kwa hali yetu ya uchumi na kijamii,yatupasa kufanya kazi kwa bidii,na si kuzungumza ulevi wa Manji,who is he by the way?tuweni kama watu makini na wenye kujua nini tunafanya,,hapa si mahala pake
 
Hii inatuhusu nini sisi? Na hao walinzi waongo sana, kama walimsitiri vipi sasa habari zake zinafika JF? Hivi kwani mtu akiwa na pesa ndio hanywi au halewi?
 
Tumtoe damu tupeleke kwa mkemia mkuu kupima level ya cocaine katika damu yake!!!!!
 
Hii inatuhusu nini sisi? Na hao walinzi waongo sana, kama walimsitiri vipi sasa habari zake zinafika JF? Hivi kwani mtu akiwa na pesa ndio hanywi au halewi?
Inatuhusu kwa sababu huyu kiumbe ana tuhuma nzito sana na lazima tuwe tunapata update zake na mienendo yake, taarifa nilizo nazo ni kuwa jamaa anajifariji kwa kulewa na kutumia yale mauchafu ilikupoteza mawazo maana moto unawaka....Kiranja asante kwa hii habari
 
kabisaaaa yanatuhusu, kwani anahela zetu akilewa hivyo akipata ajali akafa si ndio tumelala nacho, hata watoto wake anasomeshea hela zetu. hata nguo anzazovaa kila kitu kinatuhusu tunauchungu na vyetu bwana na hii inaonyesha jinsi wana JF tulivyomakini kufuatilia hawa mafisadi na hela zetu looo! ananywea hela zetu au ndo mizimu ya mababu zetu imeanza kumuandama jamani bado kidogo atatembea uchi, nyie mnaomtetea mwambieni arudishe hela zetu eboooh! zinaniuma ati
 
hii inatuhusu nini sisi? Na hao walinzi waongo sana, kama walimsitiri vipi sasa habari zake zinafika jf? Hivi kwani mtu akiwa na pesa ndio hanywi au halewi?

wote waliotuibia wanatuhusu saaaaaaaana wasije kufa kabla sheria haijawapitia na warudishwe na kufungwa maisha / kunyongwa kabisa!
 
hilo ni anguko linaanza, kama alikuwa anafanyaga siri sasa naona mambo yaanza kuwa adharani, naona huyo bwana keshaanza kupoteza mwelekeo,
HUYO BWANA ANATUHUSU SANA YEYE KALA CHETU, KWA HIYO LAZIMA TUJUE NYENDO ZAKE ILI ASIJE AKATUPONYOKA, NA MUNGU SI LOWASA MWISHO UPO
 
Hili ni tatizo linalojitokeza kwa kuwatumia vijana wadogo kama Manji katika wizi wa fedha nyingi kama za EPA.
 
kabisaaaa yanatuhusu, kwani anahela zetu akilewa hivyo akipata ajali akafa si ndio tumelala nacho, hata watoto wake anasomeshea hela zetu. hata nguo anzazovaa kila kitu kinatuhusu tunauchungu na vyetu bwana na hii inaonyesha jinsi wana JF tulivyomakini kufuatilia hawa mafisadi na hela zetu looo! ananywea hela zetu au ndo mizimu ya mababu zetu imeanza kumuandama jamani bado kidogo atatembea uchi, nyie mnaomtetea mwambieni arudishe hela zetu eboooh! zinaniuma ati

....mmmmmm, kweli katuibia fedha zetu, so? Tunasubiri alewe ndio tuonyeshe hasira zetu? Tunasubiri mababu zetu wamfanye atembee uchi? and then? hela zisiporudi? Instead of kushangilia tunaposikia 'manji amelewa pombe asubuhi' si tungefanya la maana zaidi kwa kupiga hodi mlangoni pake na kumtaka arejeshe chetu?
 
I second your motion...but who is MANJI?.....WEngfine ndiyo tunamsikia leo...

kuna mtu anaweza kutoa biography yake please.!...
 
Manji ni mtu kama watu wengine akilewa sio jambo la ajabu cha muhimu kama anaendesha gari asisababishe ajali.
 
Hii inatuhusu nini sisi? Na hao walinzi waongo sana, kama walimsitiri vipi sasa habari zake zinafika JF? Hivi kwani mtu akiwa na pesa ndio hanywi au halewi?
...Pesa yake, pombe amekunywa yeye, mtoto aliyemfata ni wake..Tatizo nini???
 
Back
Top Bottom