(TETESI)-MACHAME FAILURE MISSION

Kwa maana nyingine kwa kuwa haikuwa na idhini ya mwenye mali, hiyo hati ilikuwa batili....uhamisho wa umiliki pia ilikuwa batili. Ni kwa vipi alifanikiwa? Kuna udhaifu wa waliotoa hati watafutwe na wawajibishwe. Inaonekana mwanamke ana tamaa, alihofia kifo cha mumewe na migogoro ya urithi.
 
At some point I feel like these tragic murders, horrific femicides, are grossly reduced to a spectacle and just used as fodder for a type of rather gory and macabre sort of bizarre public entertainment.

A sort of true crime real life docudrama for the bloodthirsty internet sleuths who are out to prove their preconceived bias and agenda.

Especially misogyny.

With neither nuance nor empathy, much less respect for understanding the actual facts.

That takes too much time and effort, we want to pontificate our ignoble ignorance right now!
 
Mali zinatafutwa! Mwenyezi Mungu akikujalia kujua kuwa mwenza uliyenaye sio sahihi kwako. Mwachie anavyovitaka tembea zako. Uhai wako na amani yako ni bora kuliko mali. Kwa uzoefu wangu sijamuona mtu muugwana aliyeamua kuachilia mali zake, akashindwa kupata zingine.
 
Kifupi mwamba angechelewa kidogo tu angetangulizwa yeye…
Upo sahihi mkuu. Mwanamke akishaanza kuchakatwa nje Hilo ni bomu linalosubiri kulipuka muda wowote. Nimejiuliza alipataje uhalali wa kubadilisha hati bila huyo jamaa kuhusika? Au mkono mrefu ulitumika hapa
 
Hapana usinidanganye kabisa kuhusu hilo Hati inabadilishwa kirahisi kabisa nishashuhudia hilo mzee mmoja analizwa na mkewe kama masihara tu
Labda rushwa ndefu itumike. Unamiliki ardhi? Hakuna kitu kigumu (kinachofwata process) kama kubadilisha hati. Huyo mama alikuwa na watu wake waliompitishia mambo yake kiulaini
 
Punguza mhemko,nikikwambia unieleze kuwa unadhulumiwaje huku una nyaraka halali huwezi kujibu.

Wewe kwa kutumia akili ya kuvukia barabara unahisi inawezekena?? Namaanisha kwamba nyaraka zote zimethibitishwa na mahakama.
Huyo jamaa kuna vitu anavichukulia kirahisi rahisi. Huyo Mama alitoa rushwa/ alikuwa na watu wake waliomaliza kazi
 
Labda rushwa ndefu itumike. Unamiliki ardhi? Hakuna kitu kigumu (kinachofwata process) kama kubadilisha hati. Huyo mama alikuwa na watu wake waliompitishia mambo yake kiulaini
Mkuu kila jambo ili ulifanikishe kwa haraka linahitaji watu na hao watu lazima uwalambishe kitu ....niliwahi kusimulia humu wakati fulani kwenye utawala wa mtu hatari JPM nilipigiwa Simu kuwa Kuna wahamiaji haramu sio chini ya 15 wanaenda Mozambique... huyo alienipigia Simu ndizo biashara zake ila safari hiyo dili lilivuja na Wazee wakatega kuanzia mandawa yote hadi mnazi mmoja,,,sasa kwasababu dili lillishanuka jamaa ndio akanicheki akataja dau nikaingia tamaa japo biashara hiyo sijawahi kuifanya ...kwahiyo nikawacheki watu wangu fulani wakadai hilo suala limefika hadi ofisini kwao kwa bosi wao kwahiyo wakaogopa....uamuzi nikamcheki mzee mmoja mtwara mjini ndie mwenye kazi za aina hiyo hakika nakuambia aliwafuata yeye mwenyewe na akawavusha hadi Mozambique kwasababu nako ana watu wake.....japo hakunipa hata Mia aisee kiufupi huyo jamaa ni cccm lialia sana nakumbuka wakati fulani nipo kada wa kutupwa wa chadema aliwahi kunieleza dogo huko uliko utachelewa kupata pesa ili upate pesa lazima uwe cccm kindakindaki huu ni mwavuli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…