Mkuu uchunguzi huru akufanyie nani nchi yetu hii. Kuna matukio mangapi mpaka sasa hatujaona majibu . Muombe Mungu tu kama una mtoto mwingine usimpeleke huko . Mpeleke vyuo vingine sio lazima wote wasome mlimani.Naunga mkono hoja. Kwa kuwa tayari hii habari imeshasambaa kwenye mitandao mbali mbali hapa nchini, kuna haja ya viongozi wa jeshi kufanya uchunguzi huru ili kubaini haya. Vinginevyo kwa kweli hii itakuwa ni hatari kubwa kwa watoto wetu na kwa kizazi chetu cha nchi hii.
Mkuu nimekupata unajua sisi watz sijui tumelogwa na nani tu. Yaani tupo tayari kuita nyeusi nyeupe ili mradi watawala watuone tupo pamoja nao. Na hii tabia ndio inayorudisha nyuma mandeleo ya nchi yetu. Inashangaza kuona mtu anatetea eti hakuna ufirauni JKT wakati anaona wengi wanalalamikia hali hii. Ina maana hawa wote wanasema uongo?Mdogo wako alikuwa Omnipresent katika makambi yote?? Inawezekana vitendo hivi havikuwa vinafanyika katika kambi aliyokuwepo mdogo wako lakini vikawa vinafanyika katika kambi nyingine, so utakuwa ukosefu wa busara, mathalani, ku judge hali inayoendelea ktk kambi za Tanzania nzima kwa msingi wa maelezo/ madai ya mtu aliyeko kambi ya makutupora...na pia, inawezekana pia vilikuwa vinafanyika hata kambi aliyokuwepo lakini akawa hajui kwasababu victims wengine wana prefer ku baki kimya kwasababu wanaona aibu ku share taarifa hizo na wengine..au yeye anauwezo wa kuona sirini na hivyo akawa anajua siri zote za recruits wenzake na wakufunzi wao? Wewe ndio unaleta propaganda na mzaha kwa kujaribu kutuambia tuamini maneno ya mdogo wako na kupuuza madai haya ya msingi yanayopaswa kuchunguzwa. Uchunguzi huru ndio unapswa kututoa wasiwasi na sio maneno ya mdogo wako....
mkuu mkada umenena kweli.
Mi nina exprience na jkt na polisi, taratibu za majeshi haziruhusu hayo kutokea.
Mkuu taratibu mbali,na hurka ya mtu binafsi mbali,taratibu za majeshi yetu haziruhusu majeshi kuhalifu lakini mwenyewe umeshuhudia wanajeshi(JWTZ na POLISI)Jinsi wanavyojihusisha na vitendo vya uhalifu hivi karibuni.Nilikuwa Masange JKT 1987 acha kabisa hawa dada zetu wana mitihani.mkuu mkada umenena kweli.
Mi nina exprience na jkt na polisi, taratibu za majeshi haziruhusu hayo kutokea.
Hapa ndiyo panaponiumiza sana. Nimesomesha kwa gharama kubwa, kabla hajaanza kujitegemea, naweza kujikuta naanza tena kuingia gharama ya kumuuguza. Oooh, shit. Naumia sana siyo siri. Hizi habari kwa hakika zinanitisha sana.
Ndugu zangu, najua siyo utaratibu kuleta mjadala hapa kwa msingi wa habari zilizopo facebook. Nakubali kabisa kwamba JF si ya viwango vya facebook. Lakini nimeiona hii habari facebook, na kwa kuwa nina binti yangu yupo kambi ya JKT Tabora, pressure imenipanda na nimekosa amani kabisa.
Hebu wenye uzoefu na mambo ya huko watuambie ukweli upoje.
Habari yenyewe ni kama ifuatavyo:
[/FONT][/COLOR][/COLOR][/h]
MY TAKE: Tusijekuwa tumepeleka watoto wetu jeshini kwa kisingizio cha kuwafunza uzalendo, halafu mwisho wa siku wakarudi na HIV, na hasira kali dhidi ya nchi yao. Kama hili lina ukweli basi hii ni hali ya hatari sana kwa watoto wetu. Tunaweza kujikuta miaka mtano ijayo, 80% ya graduates wa vyuo vikuu ni wagonjwa wa UKIMWI. Ikumbukwe kwamba waliokwenda JKT ni wenye division one hadi three. Kwa maana ya kwamba ni cream ya nchi ndiyo imekwenda huko. Tutabaki na mamburula nchi hii, if this is true.
Wanandugu kama una mtoto wa kike yuko mafunzoni ongea naye kabsa,,,,mambo ya kutafuta unafuu in exchange ya ngono aache,,,kwani watoto wa kike siku hizi hawaoni taabu yoyote kuuza mwili for a supid gain,tena mod huu uzi unaweza kuleta panic kubwa sana kwa wazazi, coz ukweli hakuna ubakaji wala nini,,ni uzushi wa hali ya juu sana.tena ukizushwa na watoto haohao wa shule ambao wana access na internet...pumbaf sana
Kama hali itakua mbaya zaidi ni bora mabinti zetu wakimaliza form 6 waolewe tu, watafanya kazi za kuuza maduka na mfano wa hayo, hizo ajira za serikali zinaelekea kupatikana ka ujira...wewe unaye mtoto wako huko? mimi nilipitia jeshini tena enzi hizo za Tanzania ya kweli. Enzi za zidumu fikra sahihi za mwenye kiti. Lakini, ubakaji ulikuwepo japo sisi tuliona ni kuonewa tu. Hivi leo, Piga tu! Imeruhusiwa, huyo afande atakaye poteza mda wa kutongoza ni wa wapi? Husikii yanayotokea huko Nt- wa- ra? Hata iwe nini, huko aende tu huyo binti lakini asinidanganye atakuwa salama. Hata akienda na salama box kumi. zitaisha tu.
Yah, ni lazima boss, na suala la kwenda jeshini ni kwa mjibu wa sheria. Kutokana na taratibu walizoziweka, huwezi kuingia chuo kikuu bila ya kupitia jeshini. Majina ya waliohitimu JKT tu ndiyo yatakayofikiriwa kwenye udahili wa chuo kikuu. Hii ni kulingana na taarifa tulizopewa wakati huo.Hivi kwani wanalazimishwa kwenda JKT?
sasa why mtu uchague ujinga kama huu?
wazazi na hawa wanafunzi wana akili kweli?
sielewi kabisa
Ndugu zangu, najua siyo utaratibu kuleta mjadala hapa kwa msingi wa habari zilizopo facebook. Nakubali kabisa kwamba JF si ya viwango vya facebook. Lakini nimeiona hii habari facebook, na kwa kuwa nina binti yangu yupo kambi ya JKT Tabora, pressure imenipanda na nimekosa amani kabisa.
Hebu wenye uzoefu na mambo ya huko watuambie ukweli upoje.
Habari yenyewe ni kama ifuatavyo:
[/FONT][/COLOR][/COLOR][/h]
MY TAKE: Tusijekuwa tumepeleka watoto wetu jeshini kwa kisingizio cha kuwafunza uzalendo, halafu mwisho wa siku wakarudi na HIV, na hasira kali dhidi ya nchi yao. Kama hili lina ukweli basi hii ni hali ya hatari sana kwa watoto wetu. Tunaweza kujikuta miaka mtano ijayo, 80% ya graduates wa vyuo vikuu ni wagonjwa wa UKIMWI. Ikumbukwe kwamba waliokwenda JKT ni wenye division one hadi three. Kwa maana ya kwamba ni cream ya nchi ndiyo imekwenda huko. Tutabaki na mamburula nchi hii, if this is true.
Thanks! Tafadhari usisahau kuja kutuletea report.