Geza Ulole Platinum Member Joined Oct 31, 2009 Posts 75,975 Reaction score 107,450 Feb 3, 2013 #41 Orange si kampuni ya Makaburu bali ya Wafaransa! Big up kulinganisha na hawa wababaishaji wa sasa ila walipe capital gain tax
Orange si kampuni ya Makaburu bali ya Wafaransa! Big up kulinganisha na hawa wababaishaji wa sasa ila walipe capital gain tax
ladyfurahia JF-Expert Member Joined May 10, 2011 Posts 14,758 Reaction score 9,592 Feb 5, 2013 #42 Nini iitwe bujibujitel itaitwa tena ladyfurahiatel
Mkeshahoi JF-Expert Member Joined Jan 4, 2009 Posts 2,469 Reaction score 288 Feb 7, 2013 #43 Njowepo said: Naona kuna haja ya kuweka sheria kampuni ikishatimiza miaka mitano ata ibadilishe majina mara kumi ni kunyuka kodi tuu maana sasa huu uhuni! Click to expand... Watungs sheria watakula wapi?
Njowepo said: Naona kuna haja ya kuweka sheria kampuni ikishatimiza miaka mitano ata ibadilishe majina mara kumi ni kunyuka kodi tuu maana sasa huu uhuni! Click to expand... Watungs sheria watakula wapi?
laut Member Joined Feb 6, 2013 Posts 28 Reaction score 4 Feb 7, 2013 #44 Lakini kubadili majina mara kwa mara mimi kama mteja wa Airtel kunanikera. Afadhali Vodacom wako stable. Laut
Lakini kubadili majina mara kwa mara mimi kama mteja wa Airtel kunanikera. Afadhali Vodacom wako stable. Laut
B bitemele Member Joined Jan 28, 2013 Posts 57 Reaction score 10 Feb 7, 2013 #45 afadhali waje wengine hawa wahindi hamna kitu
Kibanga Ampiga Mkoloni JF-Expert Member Joined Aug 9, 2007 Posts 19,087 Reaction score 9,254 Feb 10, 2013 #46 Bhagat wameshindwa biashara? Wanauza kampuni mama au tanzania tu?