Tetere

Kwa mujibu wa sheria, ni marufuku kubandika picha ya mwenye picha bila ya ruhusa ya mwenyepicha

Toa ushahidi wa kimaandishi au fine 3M na kufungo 3 months au vyoye kwa pamoja

Duh tutakomajee
 
Sio kware huyu? Hivi kumbe jina jingine ni tetere!!!
 
Kwa mujibu wa sheria, ni marufuku kubandika picha ya mwenye picha bila ya ruhusa ya mwenyepicha

Toa ushahidi wa kimaandishi au fine 3M na kufungo 3 months au vyoye kwa pamoja

Duh tutakomajee

Duuu jasho lilikuwa lishaanza kunitoka, huyo tetere ningemwombaje ruhusa sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…