Tetemeko maeneo ya Mwanza

Kwa tetemeko lililopita muda huu aiseee linatisha, nyumba na kitanda kimetikisika na nikaikumbuka Sala ya toba. Japo halikua kubwa ila linatisha
Ww ni msukuma og mkuu au? wa dasalaam,tuanzie hapo kabla ya pole
 
Rift valley..... Siyo lift valley.
 
Nataka lipite tena nisikie jiwe akienda kutoa pole kwa wahanga wa tetemeko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…