Hata Dodoma limepita kama dk kumi zilizopita

Ukitaka kujuwa kipimo likidondosha glasi ya bia mezani basi juwa ni la kawaida
Tetemeko limepita muda huu hapa Arusha. Yaani niko naangalia taarifa ya habari, nilipokaa panatetemeka mpaka nikatoka nje mbio.. sijajua litakuwa na kipimo gani!! Ila ni likubwa.

Leo siendi bar nasubiri harambee ya CHADEMA live ITV.Limekuwa na uwezo wa kudondosha bia zilizokuwa mezani mkuu!!