jimmyfoxxgongo
JF-Expert Member
- Jan 23, 2013
- 5,352
- 9,329
(Mods nisaidieni kubadilisha heading isome KOREA)
Serikali ya Jamhuri ya watu wa Korea
imetoa dola elfu Hamsini za kimarekani (USD 50,000) kwa serikali ya Tanzania, kwa ajili ya msaada wa tetemeko la ardhi lililotokea mkoani Kagera Mwezi Septemba.
Fedha hizo ni takribani shilingi za kitanzania milioni 108.
Waziri wa Masuala ya kigeni nchini Balozi Augustino Mahiga amepokea fedha hizo leo Jijini Dar Es Salaam, aliishukuru serikali ya Korea na kuahidi kuukabidhi msaada huo kwa waziri mkuu utumike kama ulivyokusudia.
Swali; zitafika kwa walengwa