Test your left brain

Mtu anasema what kujifanya hajaelewa,kumbe jib ni what
Ngoja na mm niseme jib ni what WHAT!!!
 
What.
Kwa sababu hiyo sentensi haina alama ya kiulizo, ina maana inatoa taarifa kwamba jina la hiyo meli ni what.

Ingekuwa what is the name of the ship? Ingemaanisha ni swali. Swali lipo chini, gues the name of the ship.
 
hapa kuna majibu mawili na yote ni sahihi. ila moja ni most suitable
1.THE CAPTAIN
2. What
kazi kwako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…