If "A"and "B" together equal 76 ... and "A" minus "B" equal "38". Then it should be agreed that both "A" and "B" equal "38" each. If "38" is divided by "38" then the answer has to be "ONE".A /b = 2, a=76, b = 38
A= 57,b= 19; a/b = 3
Great mkuu. Nimejikuta nachukua pen na kulifanya nikijua labda kuna mtego wowote. Simultenous eq za form two.A+B=76 ---- (i)A-B=38 ----(ii)soln2A=114Then A=5757+B=76B=76-57B= 19A/B=?57/19A/B = 3
Great mkuu. Nimejikuta nachukua pen na kulifanya nikijua labda kuna mtego wowote. Simultenous eq za form two.
Great mkuu. Nimejikuta nachukua pen na kulifanya nikijua labda kuna mtego wowote. Simultenous eq za form two.
A+B=76 ---- (i)
A-B=38 ----(ii)
soln
2A=114
Then A=57
57+B=76
B=76-57
B= 19
A/B=?
57/19
A/B = 3
hahaha<<unanipa raha mkuu,,Angalia vizuri nimejibu kutokana na vijana walivyoandika,Nimejaribu tu kuonyesha inapatikanaje.muporicin na huyo rula swaga hamna kitu
Boflo nitake radhi kakahahaha. Watakuwa wana akili za panzi
Ameeen,,Unatuwekea vitu tumesoma enzi za SokoineDuh Boflo hata mimi umeniweza kweli, si unajua tena watu wa kucomplicate, maana hapa nilishajikusanya na Slide Ruler, Four figure table pamoja na graph paper za kutosha, na nlipoanza tu nilianza na kuapply Log to base ten , nikacancel na nikatupia dy/dx, nikaona aviendi mzee nikatupia intergration
Boflo weka vitu vya kuumiza ubongo bwana