a/b = 0.......
a/b = 0.......
Ameeen,,Unatuwekea vitu tumesoma enzi za Sokoine
Duh Boflo hata mimi umeniweza kweli, si unajua tena watu wa kucomplicate, maana hapa nilishajikusanya na Slide Ruler, Four figure table pamoja na graph paper za kutosha, na nlipoanza tu nilianza na kuapply Log to base ten , nikacancel na nikatupia dy/dx, nikaona aviendi mzee nikatupia intergration
Boflo weka vitu vya kuumiza ubongo bwana