BOFLO jibu hili.
Wapenzi wawili wameenda kutembea milimani kwa basi,katikati ya safari wakaomba kushuka wakati wanarudi,baada ya kushuka basi likaendelea baada ya muda kidogo jiwe likamomonyoka na kuangukia lile basi,abiria wote wakafa huku wakiona,
Wakasikitika na kusema bora wangekua kwenye lile basi,
Unadhani kwanini walitamani kuwepo kwenye lilr basi!?