denniehanda
Member
- Apr 11, 2019
- 12
- 28
- Thread starter
- #21
Hata mm nahisi harufu ya kamba
Kumbe kmebebwa kwenye chombo?Ambao hawafatilii watasema ni kamba na ukiwaambia ni hiyo gari ndo inaenda basi wanajua ni yenyewe wakati ipo kwenye chombo mpk itulishwe kwenye ardhi ya mars ndo Kama watataka waitembeze wataitembeza.
So, ni chombo au gari ndo linatembea kwa hiyo speed.Ambao hawafatilii watasema ni kamba na ukiwaambia ni hiyo gari ndo inaenda basi wanajua ni yenyewe wakati ipo kwenye chombo mpk itulishwe kwenye ardhi ya mars ndo Kama watataka waitembeze wataitembeza.