Tesla Roadster gari ya kwanza kwenda Mars

Ambao hawafatilii watasema ni kamba na ukiwaambia ni hiyo gari ndo inaenda basi wanajua ni yenyewe wakati ipo kwenye chombo mpk itulishwe kwenye ardhi ya mars ndo Kama watataka waitembeze wataitembeza.
 
Kumbe kmebebwa kwenye chombo?
 
Ambao hawafatilii watasema ni kamba na ukiwaambia ni hiyo gari ndo inaenda basi wanajua ni yenyewe wakati ipo kwenye chombo mpk itulishwe kwenye ardhi ya mars ndo Kama watataka waitembeze wataitembeza.
So, ni chombo au gari ndo linatembea kwa hiyo speed.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Hivi ukiandikiwa kichina unaeza soma na kuelewa?

Sasa ikiwa kuna viumbe huko hizi lugha mnazoongea duniani ni zenu kama mtu hajawahi kuwa duniani hawezi elewa lugha yotote

Sasa yeye kuandika kingereza ndo nini
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom