Tanzania tupo vizuri.
Ikitokea kama ya kenya, tutakamata hadi bodaboda mwenye ndevu nyingi, kijana mchafu, asiye na kitambulisho cha utaifa aliyekuwepo hapo,mpita njia asiyejielewa, etc
Yani tungewashika zaidi ya watu 70 wanaosadikika kuhusika then segereaa kutoka kama uamsho.
Sent using
Jamii Forums mobile app