Terminologies za CCM ni debe tupu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Terminologies za CCM ni debe tupu

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Jibaba Bonge, Apr 21, 2011.

 1. J

  Jibaba Bonge JF-Expert Member

  #1
  Apr 21, 2011
  Joined: May 6, 2008
  Messages: 1,224
  Likes Received: 135
  Trophy Points: 160
  Mshikamano
  Uwajibikaji
  Ufagio wa chuma
  Uaskari wa miavuli
  Kasi mpya, nguvu mpya, ari mpya
  Kasi zaidi, nguvu zaidi, ari zaidi
  Kuvua magamba

  katika zote hizi hakuna iliyofanya kazi kwa manufaa ya wananchi
   
 2. fredmlay

  fredmlay JF-Expert Member

  #2
  Apr 21, 2011
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 1,855
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Amakweli.....
   
 3. w

  warea JF-Expert Member

  #3
  Apr 21, 2011
  Joined: Jan 22, 2010
  Messages: 244
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Inakuwaje CCM inashinda kila wakati? Hivi ni kweli watu wanafurahishwa au kushabikia hiyo misemo?
   
 4. Tajy

  Tajy JF-Expert Member

  #4
  Apr 21, 2011
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 298
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Your absolutly correct,hakuna hata moja iliyoleta mageuzi yeyote kwa wananchi zaidi ya upupu na udanganyifu.hata la kuvua gamba ni wimbo tu uliozoeleka!gamba gumu tena lenye ukurutu uliokithiri hata limwagiwe maji ya moto halitasafika kamwe
   
Loading...