Termination of employment by Employee

mkadiriajimajenzi

JF-Expert Member
Dec 31, 2015
549
613
Naomba kujuzwa kwa jicho la kisheria consequenses za employee kuandika barua ya kumnotify employer kwamba hatataka kurenew mkataba ujao kutokana na sababu binafsi siku 28 kabla ya muda wa mkataba wake kumalizika,kuna haki anaweza akazikosa kutoka kwa mwajiri wake?
 
kwa upande wangu najua hakuna haki atakazozikosa.. sijui wengine wana maoni gani??
 
Naomba kujuzwa kwa jicho la kisheria consequenses za employee kuandika barua ya kumnotify employer kwamba hatataka kurenew mkataba ujao kutokana na sababu binafsi siku 28 kabla ya muda wa mkataba wake kumalizika,kuna haki anaweza akazikosa kutoka kwa mwajiri wake?
Whatsapp MI 0759323948
 
Kimsingi hawezi kosa haki kwa sababu ni kipindi ambapo Mkataba unaelekea mwisho na ku renew ni hiari ya Employee au employer kuendelea nae.
 
Naomba kujuzwa kwa jicho la kisheria consequenses za employee kuandika barua ya kumnotify employer kwamba hatataka kurenew mkataba ujao kutokana na sababu binafsi siku 28 kabla ya muda wa mkataba wake kumalizika,kuna haki anaweza akazikosa kutoka kwa mwajiri wake?

Kimsingi hakuna haki anaweza poteza isipokuwa kama Mwajiri ataamua kuwa muhuni.
 
Naunga mkono hoja ya Shokejo, kimsingi haki zake zote atazipata kama zimeainishwa kwenye mkataba pia sio lazima kuandika kwa kuwa mkataba upo mwishoni sana sana kibinadamu ni kuwaambia kwa mdomo mapema tu kwamba mkataba ukiisha sintosaini tena (au hata ukiisha kabisa ukawaambia sintosaini tena haina madhara sema kwa mahusiano mema ambayo mmejenga ni vema kuwaambia ili na wao wajipange kutafuta mtu wa replacement)
 
Back
Top Bottom