kichwanazi
Member
- Apr 11, 2013
- 89
- 9
msaada wakuu ninaweza kuipata termal compound(Thermal Paste) wapi,je kuna njia ambayo ni rahisi kutumia au mbadala wa thermal compound?naomba msaada wenu
Nadhani unazungumzia heat sink compound ile dawa ya kupaka kwenye processor.msaada wakuu ninaweza kuipata termal compound(Thermal Paste) wapi,je kuna njia ambayo ni rahisi kutumia au mbadala wa thermal compound?naomba msaada wenu
msaada wakuu ninaweza kuipata termal compound(Thermal Paste) wapi,je kuna njia ambayo ni rahisi kutumia au mbadala wa thermal compound?naomba msaada wenu
Nadhani unazungumzia heat sink compound ile dawa ya kupaka kwenye processor.
Kama yes sema upo wapi nikuelekeze pa kuipata.