Tunatoa msaada ku approach na kufanya term papers, research proposals na dissertation kulingana na chuo unachosoma. Huduma hii ni kwa wale wenye muda mchache wa kufanya kazi hizo za darasani. Tuwasiliane kwa 0713218388. Usisite kuuliza!
Kwanini mkuu[/QUOTE]
Mkuu hapa nimepata wasiwasi kidogo maana mnafanyia watu kazi,sasa yeye atajifunza vipi kama kazi yake amafanyiwa??!!Labda mngesema mnasadia vitu kama proof reading.Anyway ndiyo fursa za ajira,maana ajira zimekuwa ngumu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.