Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 76,273
- 107,911
Ujue Kikwete alipokuwa nafanya almost reverse ya Magufuli CCM hawa hawa si ndio walimsifia sana na kuita wapinzani wabwatukaji wa hovyo? Magufuli kaja anafanya karibia kila kitu kinyume na Kikwete, wale wale waliomsifia kikwete ndio wanaomsifia Magufuli pia, wakati ni wanafanya mambo kinyumeHaaaah bulldozer
Kwani hawezi kupambana na ufisadi bila kuvunja katiba? Je hawezi kupambana na ufisadi bila kubana Uhuru wa vyombo vy habari? Bado hujanishawishi broDemocracy, freedom of speech, freedom of lawful assembly, freedom of expression, freedom of information ndio vimetufikisha hapa tulipo kiasi cha kufikia hatua ya Tanzania kuhitaji rais dikteta, tukaomba kwa Mungu atupatie rais dikteta, Mungu akaisikia sala yetu, akatupatia rais Magufuli, ambaye ni dikiteta halisi ila sio dikiteta kama Hitler na wengine wale madikiteta makatili, waauwaji! , Magufuli ni dikiteta mzalendo mwenye anayekerwa na rushwa na ufisadi toka ndani ya nafsi yake hivyo anaufanya huu udikiteta wake kwa nia njema na dhamira safi kwa lengo zuri, (in good faith) ili kulikomboa taifa hili toka kwenye lindi la umasikini uliotopea uliogubikwa na rushwa na ufisadi.
Dikiteta wa type hii ya rais Magufuli anaitwa dikiteta mzalendo au a benevolent dictator .
Pasco
Democracy, freedom of speech, freedom of lawful assembly, freedom of expression, freedom of information ndio vimetufikisha hapa tulipo kiasi cha kufikia hatua ya Tanzania kuhitaji rais dikteta, tukaomba kwa Mungu atupatie rais dikteta, Mungu akaisikia sala yetu, akatupatia rais Magufuli, ambaye ni dikiteta halisi ila sio dikiteta kama Hitler na wengine wale madikiteta makatili, waauwaji! , Magufuli ni dikiteta mzalendo mwenye anayekerwa na rushwa na ufisadi toka ndani ya nafsi yake hivyo anaufanya huu udikiteta wake kwa nia njema na dhamira safi kwa lengo zuri, (in good faith) ili kulikomboa taifa hili toka kwenye lindi la umasikini uliotopea uliogubikwa na rushwa na ufisadi.
Dikiteta wa type hii ya rais Magufuli anaitwa dikiteta mzalendo au a benevolent dictator .
Pasco
Mkuu Ronald Reagan, asante, nimeguswa!. I reserve my comments! .Pasco ndugu yangu, nasikitika kila siku ninaposoma machapisho yako.....namna ambavyo unaonekana kuandika huku ukisukumwa zaidi na moyo kuliko akili/weledi hasa kwenye mambo yenye kuhitaji matumizi ya ubongo.
1) Je unaweza kuwa na dikteta mwema? Ni sawa na kusema pia unaweza kuwa na shetani mwema au ugonjwa mwema? Kucheza na maneno sio werevu mara nyingine kwa sababu matendo yana nguvu kuliko maneno kaka!
2) Hapo nilikoweka kivuli (highlighted), Tanganyika ilipata uhuru 1961, Tanzania ikazaliwa 1964 - hivyo toka tupate uhuru ni takribani miaka 55 sasa. Mfumo wa vyama vingi ulirudishwa rasmi mwaka 1992 na kuwa na uchaguzi wa kwanza katika mfumo huo 1995 yaani takribani miaka 21 sasa. Swali langu ni je ikiwa tatizo ni demokrasia (ya vyama vingi), uhuru wa maoni, uhuru wa kupashana habari nk ndio sababu ya Tanzania kubaki katika lindi la umaskini, ujinga, maradhi na ufisadi mpaka sasa:-
(a) Je mwaka 1992 (au 1995) Tanzania ilikuwa ni nchi tajiri na/au iliyoendelea kuliko sasa? Kama jibu ni hapana, je wewe si "mchochezi" na mnafiki?
(b) Ukilinganisha miaka ya chama kimoja na mfumo wa sasa wa vyama vingi, hivi kiwango cha ufahamu wa elimu ya kawaida ya uraia (serikali, ufisadi, maendeleo nk) kwa wananchi je ni nyakati gani kilikuwa bora zaidi?
(c) Pamoja na propganda nyingi mnazopiga kutetea makosa ya wazi na tena ya kikatili dhidi ya Katiba, Sheria za Nchi, Wananchi wa kawaida na taasisi nyingine zinazokandamizwa ....je huoni kuwa ufa kati ya wananchi na Serikali hii tukufu ya Awamu ya Tano unazidi kuwa mkubwa? Huoni kama mashirikiano, utengemano, amani na umoja wa Kitaifa uko katika tishio iwapo matendo kandamizi yataendelea?
(d) Tanzania imefaidika vipi na siasa za kiimla enzi hizo? Unadhani katika lile Bunge la Chifu Adam Sapi Mkwawa na kwa sehemu kubwa la Mzee Pius Msekwa kweli ungekaa usikie/kuona ufisadi kama EPA, Richmond, Meremeta, Escrow nk ukiibuliwa? Hivi kweli ungekaa uone/usikie Serikali ikisimimamiwa na Bunge kama Katiba ya Nchi inavyoelekeza na kudai?
3) Taaluma na tasnia ya habari kwa ujumla huwa ni nguzo ya kuchagiza maendeleo, ustawi, umoja, haki nk kwa kusimamia misingi ya taaluma husika lakini kwa kufanya kazi zenu kwa weledi, upendo na haki. Huoni wewe Pasco (wa JF) na waandishi wenzako mmeingusha taaluma na tasnia nzima ya habari kwa miaka yote hiyo? Huoni kuwa wananchi wana sababu ya kutowasikliza waandishi wa habari (hasa wa aina yako) na mnastahili kupuuzwa?
Nihitimishe kwa kusema hivi, katika historia ya mataifa ya ulimwengu huu.....kila zama zina mambo yake. Waandishi wa habari (pengine baada ya majemadari wa majeshi na wafalme/wanasiasa) ndio kundi kubwa lililohusika kubadili historia ya kila zama na utawala. Wewe na wenzako mna nafasi ya kuwa mashujaa (heroes) au kuwa mateka/washindwa (villains).
HISTORIA ni hakimu mzuri kwenye mahakama ya MUDA!
Unafanya deadly mistake kusema tukaomba maana sidhani kama raia wa Tanzania anaweza kuomba mungu inchi yake ipate raisi dictator. For sure I don't think soDemocracy, freedom of speech, freedom of lawful assembly, freedom of expression, freedom of information ndio vimetufikisha hapa tulipo kiasi cha kufikia hatua ya Tanzania kuhitaji rais dikteta, tukaomba kwa Mungu atupatie rais dikteta, Mungu akaisikia sala yetu, akatupatia rais Magufuli, ambaye ni dikiteta halisi ila sio dikiteta kama Hitler na wengine wale madikiteta makatili, waauwaji! , Magufuli ni dikiteta mzalendo mwenye anayekerwa na rushwa na ufisadi toka ndani ya nafsi yake hivyo anaufanya huu udikiteta wake kwa nia njema na dhamira safi kwa lengo zuri, (in good faith) ili kulikomboa taifa hili toka kwenye lindi la umasikini uliotopea uliogubikwa na rushwa na ufisadi.
Dikiteta wa type hii ya rais Magufuli anaitwa dikiteta mzalendo au a benevolent dictator .
Pasco
wanafiki sana hawaUjue Kikwete alipokuwa nafanya almost reverse ya Magufuli CCM hawa hawa si ndio walimsifia sana na kuita wapinzani wabwatukaji wa hovyo? Magufuli kaja anafanya karibia kila kitu kinyume na Kikwete, wale wale waliomsifia kikwete ndio wanaomsifia Magufuli pia, wakati ni wanafanya mambo kinyume
hadi akung'oe meno ndio utapata akiliDemocracy, freedom of speech, freedom of lawful assembly, freedom of expression, freedom of information ndio vimetufikisha hapa tulipo kiasi cha kufikia hatua ya Tanzania kuhitaji rais dikteta, tukaomba kwa Mungu atupatie rais dikteta, Mungu akaisikia sala yetu, akatupatia rais Magufuli, ambaye ni dikiteta halisi ila sio dikiteta kama Hitler na wengine wale madikiteta makatili, waauwaji! , Magufuli ni dikiteta mzalendo mwenye anayekerwa na rushwa na ufisadi toka ndani ya nafsi yake hivyo anaufanya huu udikiteta wake kwa nia njema na dhamira safi kwa lengo zuri, (in good faith) ili kulikomboa taifa hili toka kwenye lindi la umasikini uliotopea uliogubikwa na rushwa na ufisadi.
Dikiteta wa type hii ya rais Magufuli anaitwa dikiteta mzalendo au a benevolent dictator .
Pasco
zzk mnafiki sana, ndio maana juzi hapa kazomewa huko kigoma. anacho kifamya mafufuli hakina tofauti na IDD amin Rais wa zamani wa Uganda, na walikuwepo wafuasi wakeWatu wanaambiwa hawana support kwa kuendelea kudanganya wananchi huwa hawasikii. CHADEMA iangalie ZZK anachofanya kule Kigoma. Anafanya kazi na watu na anawafundisha kazi. Nani atasema asikutane na watu.
Kwa halihalisi, ni vijana wachache sana wanaoona kinyume na watu wengi. Atabaki hivyo kwa vile anatetea watu wake si siasa.
Siasa za Afrika siku sote hazina maana. Tumeona kwa Seif, leo tunaona Gabon.
Siasa tunafundishwa eti tufanye kama Ulaya na USA. hatuwezi.
Magu is not a godly angel sent from heaven.We need to understand this.He makes good stunts,no doubt on that.This does not mean that he no makes a series of leadership blunders as well.Praising him for even silly staff ,is costly to everyone of us.
Kwani hawezi kupambana na ufisadi bila kuvunja katiba? Je hawezi kupambana na ufisadi bila kubana Uhuru wa vyombo vy habari? Bado hujanishawishi bro
Watu wanaambiwa hawana support kwa kuendelea kudanganya wananchi huwa hawasikii. CHADEMA iangalie ZZK anachofanya kule Kigoma. Anafanya kazi na watu na anawafundisha kazi. Nani atasema asikutane na watu.
Kwa halihalisi, ni vijana wachache sana wanaoona kinyume na watu wengi. Atabaki hivyo kwa vile anatetea watu wake si siasa.
Siasa za Afrika siku sote hazina maana. Tumeona kwa Seif, leo tunaona Gabon.
Siasa tunafundishwa eti tufanye kama Ulaya na USA. hatuwezi.
Pasco ndugu yangu, nasikitika kila siku ninaposoma machapisho yako.....namna ambavyo unaonekana kuandika huku ukisukumwa zaidi na moyo kuliko akili/weledi hasa kwenye mambo yenye kuhitaji matumizi ya ubongo.