Tension between Tanzania's 'bulldozer' president and opposition

Tension between Tanzania's 'bulldozer' president and opposition

Hawa wazungu wanampaka maguful mafuta kwa mgongo wa chupa.

Hili neno sijui jina "bulldozer" linamaana mbaya sana.

Kila mtu anajua kazi ya bulldizer ni kubomoa.

Je magufuli mnadhani anabomoa nini zaidi ya Uchumi na Democracy?????

Think btn da line..
 
Magufuli ni Raisi mwenye nia njema kabisa, ingawa maboya ya demokrasia yanaweza yakamletea shida, vyama vya upinzani waendelee kukaa pamoja kushauriana na kuelimishana, tukiwa kwenye mfumo wa vyama vingi watu hukaa pamoja na kuzungumza kuondoa tofauti zilizopo, pia raisi ajue kuwa dunia ya sasa hivi mtu hupimwa kwa utendaji kazi wake na si vinginevyo. Kwa hiyo raisi aruhusi mijadala ,uhuru wa watu kukosoa na kutoa maoni, watu wanapokosa ndo jinsi raisi atakavyo kuwa anaimarika zaidi,ni lazima tuwe na demokrasia imara, upinzani imara ili katika maoni yao na ya chama tawala ndipo tunaweza kuendelea. Ukiachia hayo raisi pia kusema ukweli ni mchapa kazi, sasa uchapakazi wake uwe kwa vitendo, ajenge hivyo viwanda, mafisadi yafungwe, huduma za jamii zipatikane kwa watanzania bila shida na kwa haraka, kilimo cha kisasa kiimarishwe, yeye apiganie maendeleo kwa taifa, at the end watu tutamhuku kwa vitu alivyotufanyia, asiwe na wasiwasi na asiwaze sana kuhusu uchaguzi ujao, bali ainyooshe tu serikali then watu watakuwa na imani nae.
 
Afrika hatuwezi fika hata siku moja. Kila mtu akishindwa anaona kaonewa.

Majuzi nilikuwa nafikiria kuwa, yawezekana sababu kubwa ni mfumo ya upigaji kura mibovu. Kama tungekuwa na systems za wenzetu zingesaidia kuwa na open balloting kila mtu anaona, pengine wangepunguza kujitapa.

Ila kwa ninavyofahamu wazungu wanapenda sana siasa zetu, maana ndo wanajua umasikini utaendelea zaidi.
Mkuu, unaifahamu historia ya Jean Ping na Ali Bongo?

Unafahamu kwamba Jean Ping ameoa dada yake Ali Bongo na amezaa nae watoto wawili?

Ifuatilie halafu utaelewa kwanini Ali Bongo ametumia historia hiyo kumfunga bao la mkono huyo mchina (baba mchina mama mGabon) kuwa raisi wa Gabon.

Ping nae kama Edward Lowasa alijitoa kwenye chama tawala na kwenda upinzani mwaka 2014.

Hata hivyo historia ya Gabon na Tanzania ni tofauti kwa maili nyingi sana.

Hii ni vita ya mashemeji nani awe raisi wa Gabon, na wananchi wajinga wamepumbazwa.

Siasa za Afrika ni "unique"
 
Rais anachotaka kufanya ni kile kinachofanyika na nchi zilizoendelea. Siasa na demokrasia ni sehemu ya maisha hasa kwa kuonyeshana sera na si vijembe. Siasa za Afrika zina shida yake. Wapinzani wanachotamani zaidi ni kwenda ikulu nanwao si kuendeleza taifa.

Na hii imefanya nchi zetu zishindwe kufika tunakokwenda. Watu wanabaki kuongea zaidi ya kutenda. Hamna sera wa utendaji. Nchi zilizobadili vyama si mafano wa maendeleo hata kidogo. Mafano ni Nigeria.

Tunachohitaji ni watu kufanya kazi na kutetea taifa si kutetea vyama. Na watu wanashindwa kujua kuwa hakuna mabadiliko yaliyoletwa kwa nguvu ya vyama vya siasa hata ulaya. Mabadiliko yaliletwa na watu wenyewe kwa kupambana na serikali dhalimu. Hii ya Tz ni dili za watu zimezibwa tu. Na hata leo ukimpa nchi hawezi fanya zaidi ya tunachoona sasa.
Magufuli ni Raisi mwenye nia njema kabisa, ingawa maboya ya demokrasia yanaweza yakamletea shida, vyama vya upinzani waendelee kukaa pamoja kushauriana na kuelimishana, tukiwa kwenye mfumo wa vyama vingi watu hukaa pamoja na kuzungumza kuondoa tofauti zilizopo, pia raisi ajue kuwa dunia ya sasa hivi mtu hupimwa kwa utendaji kazi wake na si vinginevyo. Kwa hiyo raisi aruhusi mijadala ,uhuru wa watu kukosoa na kutoa maoni, watu wanapokosa ndo jinsi raisi atakavyo kuwa anaimarika zaidi,ni lazima tuwe na demokrasia imara, upinzani imara ili katika maoni yao na ya chama tawala ndipo tunaweza kuendelea. Ukiachia hayo raisi pia kusema ukweli ni mchapa kazi, sasa uchapakazi wake uwe kwa vitendo, ajenge hivyo viwanda, mafisadi yafungwe, huduma za jamii zipatikane kwa watanzania bila shida na kwa haraka, kilimo cha kisasa kiimarishwe, yeye apiganie maendeleo kwa taifa, at the end watu tutamhuku kwa vitu alivyotufanyia, asiwe na wasiwasi na asiwaze sana kuhusu uchaguzi ujao, bali ainyooshe tu serikali then watu watakuwa na imani nae.
 
We akili yako inakutosha mwenyewe. Na huwezi hata kuitumia kushaiwishi watu. Unalinganisha demokrasia ya Tz na mapinduzi? hivi mko wangapi manaojiandikia tu bila kujitahidi hata kufikiri? Shida wengi wa kusikia. Ningekujua hata leo ningekupeleka Misri uende uone maana ya utawala wa kimabavu.
zzk mnafiki sana, ndio maana juzi hapa kazomewa huko kigoma. anacho kifamya mafufuli hakina tofauti na IDD amin Rais wa zamani wa Uganda, na walikuwepo wafuasi wake
 
Back
Top Bottom