Tension between Tanzania's 'bulldozer' president and opposition

Geza Ulole

Platinum Member
Joined
Oct 31, 2009
Posts
76,122
Reaction score
107,671
Tension between Tanzania's 'bulldozer' president and opposition
John Magufuli has been harassing the opposition and closing down newspapers and radio stations. Unsurprisingly this style of leadership has drawn criticism, but that is only half the story.

Not so long ago, John Pombe Magufuli, was basking in praise. Since his election in November, he has been cracking down on corruption and official waste. Air travel for government officials has been scrapped. He even abolished the Independence Day celebrations. His name became synonymous with cost-cutting measures. [HASHTAG]#WhatWouldMugufuliDo[/HASHTAG] contained all manner of hints on how to scrimp and save.

But the president himself - known as "Bulldozer" since his days in office as a dynamic minister of works - is increasingly attracting attention by adopting undemocratic, authoritarian measures. Political rallies have been banned. Newspapers and radio stations critical of the government have been closed down. Live broadcasts of parliamentary proceedings have been halted, allegedly because of the need to economize.

Tanzania expert Ben Taylor sees no inconsistencies here and says Magufuli is merely sticking to his agenda. "I think the president has a genuine commitment to try to clamp down on corruption, tax evasion, inefficiency and waste within government," Taylor told DW.

John Magufuli was elected president on 25.10.2015

Magufuli and his supporters are convinced that the whole country must unite behind him. "Inconvenient issues like freedom of speech, public debate are seen as detracting people from the focus of government and the population as a whole," Taylor added.

'We are here to work'

It is a policy that has the approval of many Tanzanians. Many are more interested in results rather than in the methods that Magufuli employs to achieve them, said Richard Shaba from Germany's Konrad Adenauer Foundation in Dar es Salam.

However, Magufuli's tendency of making statements in public without explaining them properly can cause problems. "Even the famous one 'Hapa kazi tu' (We are here to work) is not elaborated [upon], people are left to [find] their definitions which is not good," Shaba said.

Last week, Magufuli's clampdown took its most draconian turn so far. Six politicians from the opposition Chadema party were temporarily arrested. In spite of a police ban on political party meetings, Chadema had intended to stage protests against the government on Thursday (01.09.2016). However, the protests were postponed for one month at the last moment.

The president who helps to pick up the rubbish. Many Tanzanians approve of such stunts

Magufuli still popular

Chadema said it wants to await the outcome of mediation efforts by religious leaders in order to avoid violent confrontation. Ben Taylor suspects that the opposition simply lacks sufficient support for protests among the population. "There is no doubt that Magufuli remains extremely popular within Tanzania," he said. There is growing criticism of him, but that hasn't dented his popularity.

Opinion about Magufuli is divided, Shaba said. "The donor community started off by saying 'we have the man we were looking for' but today they're divided, they're not sure, and some are reserved. You have the political parties in general; they don't feel they are getting a fair deal. You have the man on the street, who feels that for the first time that the big and the mighty are forced to obey the law, or at least calm down, or are forced to listen."

Tension between Tanzania's 'bulldozer' president and opposition | Africa | DW.COM | 01.09.2016
 
Sasa huyo mbona amehoji ma pro- CCM tu kuhusu usahihi wa anachofanya Magufuli? maana obviously wangejibu hivyo, ila kwa mtu reasonable huwezi kum convince eti freedom of speech itasababisha serikali kutofanya kazi, huu ni upuuzi mkubwa ambao hauna mashiko, huko nchi nyingine ambako kuna freedom of speech zinawanyima marais wake kutenda kazi?
 
Haaaah bulldozer
Ujue Kikwete alipokuwa nafanya almost reverse ya Magufuli CCM hawa hawa si ndio walimsifia sana na kuita wapinzani wabwatukaji wa hovyo? Magufuli kaja anafanya karibia kila kitu kinyume na Kikwete, wale wale waliomsifia kikwete ndio wanaomsifia Magufuli pia, wakati ni wanafanya mambo kinyume
 
Magu is not a godly angel sent from heaven.We need to understand this.He makes good stunts,no doubt on that.This does not mean that he no makes a series of leadership blunders as well.Praising him for even silly staff ,is costly to everyone of us.
 
Democracy, freedom of speech, freedom of lawful assembly, freedom of expression, freedom of information ndio vimetufikisha hapa tulipo kiasi cha kufikia hatua ya Tanzania kuhitaji rais dikteta, tukaomba kwa Mungu atupatie rais dikteta, Mungu akaisikia sala yetu, akatupatia rais Magufuli, ambaye ni dikiteta halisi ila sio dikiteta kama Hitler na wengine wale madikiteta makatili, waauwaji! , Magufuli ni dikiteta mzalendo mwenye anayekerwa na rushwa na ufisadi toka ndani ya nafsi yake hivyo anaufanya huu udikiteta wake kwa nia njema na dhamira safi kwa lengo zuri, (in good faith) ili kulikomboa taifa hili toka kwenye lindi la umasikini uliotopea uliogubikwa na rushwa na ufisadi.

Dikiteta wa type hii ya rais Magufuli anaitwa dikiteta mzalendo au a benevolent dictator .
Pasco
 
Watu wanaambiwa hawana support kwa kuendelea kudanganya wananchi huwa hawasikii. CHADEMA iangalie ZZK anachofanya kule Kigoma. Anafanya kazi na watu na anawafundisha kazi. Nani atasema asikutane na watu.

Kwa halihalisi, ni vijana wachache sana wanaoona kinyume na watu wengi. Atabaki hivyo kwa vile anatetea watu wake si siasa.

Siasa za Afrika siku sote hazina maana. Tumeona kwa Seif, leo tunaona Gabon.

Siasa tunafundishwa eti tufanye kama Ulaya na USA. hatuwezi.
 
Kwani hawezi kupambana na ufisadi bila kuvunja katiba? Je hawezi kupambana na ufisadi bila kubana Uhuru wa vyombo vy habari? Bado hujanishawishi bro
 
Pasco ndugu yangu, nasikitika kila siku ninaposoma machapisho yako.....namna ambavyo unaonekana kuandika huku ukisukumwa zaidi na moyo kuliko akili/weledi hasa kwenye mambo yenye kuhitaji matumizi ya ubongo.

1) Je unaweza kuwa na dikteta mwema? Ni sawa na kusema pia unaweza kuwa na shetani mwema au ugonjwa mwema? Kucheza na maneno sio werevu mara nyingine kwa sababu matendo yana nguvu kuliko maneno kaka!

2) Hapo nilikoweka kivuli (highlighted), Tanganyika ilipata uhuru 1961, Tanzania ikazaliwa 1964 - hivyo toka tupate uhuru ni takribani miaka 55 sasa. Mfumo wa vyama vingi ulirudishwa rasmi mwaka 1992 na kuwa na uchaguzi wa kwanza katika mfumo huo 1995 yaani takribani miaka 21 sasa. Swali langu ni je ikiwa tatizo ni demokrasia (ya vyama vingi), uhuru wa maoni, uhuru wa kupashana habari nk ndio sababu ya Tanzania kubaki katika lindi la umaskini, ujinga, maradhi na ufisadi mpaka sasa:-

(a) Je mwaka 1992 (au 1995) Tanzania ilikuwa ni nchi tajiri na/au iliyoendelea kuliko sasa? Kama jibu ni hapana, je wewe si "mchochezi" na mnafiki?

(b) Ukilinganisha miaka ya chama kimoja na mfumo wa sasa wa vyama vingi, hivi kiwango cha ufahamu wa elimu ya kawaida ya uraia (serikali, ufisadi, maendeleo nk) kwa wananchi je ni nyakati gani kilikuwa bora zaidi?

(c) Pamoja na propganda nyingi mnazopiga kutetea makosa ya wazi na tena ya kikatili dhidi ya Katiba, Sheria za Nchi, Wananchi wa kawaida na taasisi nyingine zinazokandamizwa ....je huoni kuwa ufa kati ya wananchi na Serikali hii tukufu ya Awamu ya Tano unazidi kuwa mkubwa? Huoni kama mashirikiano, utengemano, amani na umoja wa Kitaifa uko katika tishio iwapo matendo kandamizi yataendelea?

(d) Tanzania imefaidika vipi na siasa za kiimla enzi hizo? Unadhani katika lile Bunge la Chifu Adam Sapi Mkwawa na kwa sehemu kubwa la Mzee Pius Msekwa kweli ungekaa usikie/kuona ufisadi kama EPA, Richmond, Meremeta, Escrow nk ukiibuliwa? Hivi kweli ungekaa uone/usikie Serikali ikisimimamiwa na Bunge kama Katiba ya Nchi inavyoelekeza na kudai?

3) Taaluma na tasnia ya habari kwa ujumla huwa ni nguzo ya kuchagiza maendeleo, ustawi, umoja, haki nk kwa kusimamia misingi ya taaluma husika lakini kwa kufanya kazi zenu kwa weledi, upendo na haki. Huoni wewe Pasco (wa JF) na waandishi wenzako mmeingusha taaluma na tasnia nzima ya habari kwa miaka yote hiyo? Huoni kuwa wananchi wana sababu ya kutowasikliza waandishi wa habari (hasa wa aina yako) na mnastahili kupuuzwa?

Nihitimishe kwa kusema hivi, katika historia ya mataifa ya ulimwengu huu.....kila zama zina mambo yake. Waandishi wa habari (pengine baada ya majemadari wa majeshi na wafalme/wanasiasa) ndio kundi kubwa lililohusika kubadili historia ya kila zama na utawala. Wewe na wenzako mna nafasi ya kuwa mashujaa (heroes) au kuwa mateka/washindwa (villains).

HISTORIA ni hakimu mzuri kwenye mahakama ya MUDA!
 
Mkuu Ronald Reagan, asante, nimeguswa!. I reserve my comments! .

Unafanya deadly mistake kusema tukaomba maana sidhani kama raia wa Tanzania anaweza kuomba mungu inchi yake ipate raisi dictator. For sure I don't think so
 
Mkuu Ronald Reagan ahsante kwa mchango wako nasubiria vijana wa lumumba waje watoe majibu maana Pasco amenyoosha mikono.
 
Ujue Kikwete alipokuwa nafanya almost reverse ya Magufuli CCM hawa hawa si ndio walimsifia sana na kuita wapinzani wabwatukaji wa hovyo? Magufuli kaja anafanya karibia kila kitu kinyume na Kikwete, wale wale waliomsifia kikwete ndio wanaomsifia Magufuli pia, wakati ni wanafanya mambo kinyume
wanafiki sana hawa
 
Democracy, freedom of speech, freedom of lawful assembly, freedom of expression, freedom of information ndio vimetufikisha hapa tulipo kiasi cha kufikia hatua ya Tanzania kuhitaji rais dikteta, tukaomba kwa Mungu atupatie rais dikteta, Mungu akaisikia sala yetu, akatupatia rais Magufuli, ambaye ni dikiteta halisi ila sio dikiteta kama Hitler na wengine wale madikiteta makatili, waauwaji! , Magufuli ni dikiteta mzalendo mwenye anayekerwa na rushwa na ufisadi toka ndani ya nafsi yake hivyo anaufanya huu udikiteta wake kwa nia njema na dhamira safi kwa lengo zuri, (in good faith) ili kulikomboa taifa hili toka kwenye lindi la umasikini uliotopea uliogubikwa na rushwa na ufisadi.

Dikiteta wa type hii ya rais Magufuli anaitwa dikiteta mzalendo au a benevolent dictator .
Pasco
hadi akung'oe meno ndio utapata akili
 
Watu wanaambiwa hawana support kwa kuendelea kudanganya wananchi huwa hawasikii. CHADEMA iangalie ZZK anachofanya kule Kigoma. Anafanya kazi na watu na anawafundisha kazi. Nani atasema asikutane na watu.

Kwa halihalisi, ni vijana wachache sana wanaoona kinyume na watu wengi. Atabaki hivyo kwa vile anatetea watu wake si siasa.

Siasa za Afrika siku sote hazina maana. Tumeona kwa Seif, leo tunaona Gabon.

Siasa tunafundishwa eti tufanye kama Ulaya na USA. hatuwezi.
zzk mnafiki sana, ndio maana juzi hapa kazomewa huko kigoma. anacho kifamya mafufuli hakina tofauti na IDD amin Rais wa zamani wa Uganda, na walikuwepo wafuasi wake
 
Magu is not a godly angel sent from heaven.We need to understand this.He makes good stunts,no doubt on that.This does not mean that he no makes a series of leadership blunders as well.Praising him for even silly staff ,is costly to everyone of us.

Wewe ni nani mpaka useme anafanya makosa? Zaidi ya 90% ya Watz wanamkubali na hiyo ndiyo muhimu kama wewe unaona hafai subiri 2020 ulete wako au nenda kaishi kwa Wazungu wako ambao watakuita nigga hata uzungumze kwa kubana pua kama wao, mwisho siku wewe kwa Mzungu ni nigga tu tena Mzungu atamuheshimu Magufuli klk wewe kwa maana Magufuli anakuja kama alivyo na hajipendekezi kwa mtu!
 
Kwani hawezi kupambana na ufisadi bila kuvunja katiba? Je hawezi kupambana na ufisadi bila kubana Uhuru wa vyombo vy habari? Bado hujanishawishi bro

Hana haja ta kukushawaishi chochote, amini unavyoamini lkn mwisho wa siku Watz wana kumkubali Raisi Magufuli na hilo ndiyo muhimu!
 
Watu wanaambiwa hawana support kwa kuendelea kudanganya wananchi huwa hawasikii. CHADEMA iangalie ZZK anachofanya kule Kigoma. Anafanya kazi na watu na anawafundisha kazi. Nani atasema asikutane na watu.

Kwa halihalisi, ni vijana wachache sana wanaoona kinyume na watu wengi. Atabaki hivyo kwa vile anatetea watu wake si siasa.

Siasa za Afrika siku sote hazina maana. Tumeona kwa Seif, leo tunaona Gabon.

Siasa tunafundishwa eti tufanye kama Ulaya na USA. hatuwezi.

Mkuu, unaifahamu historia ya Jean Ping na Ali Bongo?

Unafahamu kwamba Jean Ping ameoa dada yake Ali Bongo na amezaa nae watoto wawili?

Ifuatilie halafu utaelewa kwanini Ali Bongo ametumia historia hiyo kumfunga bao la mkono huyo mchina (baba mchina mama mGabon) kuwa raisi wa Gabon.

Ping nae kama Edward Lowasa alijitoa kwenye chama tawala na kwenda upinzani mwaka 2014.

Hata hivyo historia ya Gabon na Tanzania ni tofauti kwa maili nyingi sana.

Hii ni vita ya mashemeji nani awe raisi wa Gabon, na wananchi wajinga wamepumbazwa.

Siasa za Afrika ni "unique"
 
Pasco ndugu yangu, nasikitika kila siku ninaposoma machapisho yako.....namna ambavyo unaonekana kuandika huku ukisukumwa zaidi na moyo kuliko akili/weledi hasa kwenye mambo yenye kuhitaji matumizi ya ubongo.

1) Je unaweza kuwa na dikteta mwema? Ni sawa na kusema pia unaweza kuwa na shetani mwema au ugonjwa mwema? Kucheza na maneno sio werevu mara nyingine kwa sababu matendo yana nguvu kuliko maneno kaka!

2) Hapo nilikoweka kivuli (highlighted), Tanganyika ilipata uhuru 1961, Tanzania ikazaliwa 1964 - hivyo toka tupate uhuru ni takribani miaka 55 sasa. Mfumo wa vyama vingi ulirudishwa rasmi mwaka 1992 na kuwa na uchaguzi wa kwanza katika mfumo huo 1995 yaani takribani miaka 21 sasa. Swali langu ni je ikiwa tatizo ni demokrasia (ya vyama vingi), uhuru wa maoni, uhuru wa kupashana habari nk ndio sababu ya Tanzania kubaki katika lindi la umaskini, ujinga, maradhi na ufisadi mpaka sasa:-

(a) Je mwaka 1992 (au 1995) Tanzania ilikuwa ni nchi tajiri na/au iliyoendelea kuliko sasa? Kama jibu ni hapana, je wewe si "mchochezi" na mnafiki?

(b) Ukilinganisha miaka ya chama kimoja na mfumo wa sasa wa vyama vingi, hivi kiwango cha ufahamu wa elimu ya kawaida ya uraia (serikali, ufisadi, maendeleo nk) kwa wananchi je ni nyakati gani kilikuwa bora zaidi?

(c) Pamoja na propganda nyingi mnazopiga kutetea makosa ya wazi na tena ya kikatili dhidi ya Katiba, Sheria za Nchi, Wananchi wa kawaida na taasisi nyingine zinazokandamizwa ....je huoni kuwa ufa kati ya wananchi na Serikali hii tukufu ya Awamu ya Tano unazidi kuwa mkubwa? Huoni kama mashirikiano, utengemano, amani na umoja wa Kitaifa uko katika tishio iwapo matendo kandamizi yataendelea?

(d) Tanzania imefaidika vipi na siasa za kiimla enzi hizo? Unadhani katika lile Bunge la Chifu Adam Sapi Mkwawa na kwa sehemu kubwa la Mzee Pius Msekwa kweli ungekaa usikie/kuona ufisadi kama EPA, Richmond, Meremeta, Escrow nk ukiibuliwa? Hivi kweli ungekaa uone/usikie Serikali ikisimimamiwa na Bunge kama Katiba ya Nchi inavyoelekeza na kudai?

3) Taaluma na tasnia ya habari kwa ujumla huwa ni nguzo ya kuchagiza maendeleo, ustawi, umoja, haki nk kwa kusimamia misingi ya taaluma husika lakini kwa kufanya kazi zenu kwa weledi, upendo na haki. Huoni wewe Pasco (wa JF) na waandishi wenzako mmeingusha taaluma na tasnia nzima ya habari kwa miaka yote hiyo? Huoni kuwa wananchi wana sababu ya kutowasikliza waandishi wa habari (hasa wa aina yako) na mnastahili kupuuzwa?

Nihitimishe kwa kusema hivi, katika historia ya mataifa ya ulimwengu huu.....kila zama zina mambo yake. Waandishi wa habari (pengine baada ya majemadari wa majeshi na wafalme/wanasiasa) ndio kundi kubwa lililohusika kubadili historia ya kila zama na utawala. Wewe na wenzako mna nafasi ya kuwa mashujaa (heroes) au kuwa mateka/washindwa (villains).

HISTORIA ni hakimu mzuri kwenye mahakama ya MUDA!

Mkuu, nadhani nitaishia tu kutamani kuwa na waandishi hapa TZ ambao ni critical thinkers waliopevuka hata kwa kufikia angalau robo yako japo sijui wewe ni mwandishi pia au la. Na kwakweli sihitaji kujua. Lakini nimependa uchambuzi wako uliopevuka. Bahati mbaya Bongo tuna "Wenye kuhabarisha" nini kimetokea ama nani kasema nini na wapi. Hatuna waaandishi wa habari katika muktadha wa Uandishi wa habari. Shukrani kwa kumjibu Pasco na wote wa aina yake. Umeifanya jioni yangu iishe vizuri.
 
Back
Top Bottom