VeronicaAmadu
JF-Expert Member
- May 4, 2011
- 310
- 380
- Thread starter
-
- #41
Nilijua utakuwa na beef naye ndiyo sababu nikakwambia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Final ya Australia Open nadhani mwaka juzi niliamka usiku wa manane ili kuangalia mechi ile kati ya Serena na yeye basi akashinda Kerber aisee siku mbili nilikosa amani kabisa. Sasa kule kwenye social media beberu haters walivyokuwa wanamtusi na kumkejeli Serena acha kabisa.
Thats music to my earsπ€£π€£π€£π€£π€£π€£ Namuangalia Halep hapa, wamegawana set na Gibbs, third set now. Commentators wanasema last two times at US Halep alitolewa first round. Na hao mashabiki wa Maria ni ma haters sana. Halafu wanasahau huyo Maria bila drugs hana kitu. Tangu arudi toka ban ya drugs hajawahi kushinda any tournament. Hana stamina hata kidogo.
Nick kyrgios.Ni mu Australia anacheza vizuri sema ni mtukutu sana. Anaprovoke sana pia.
Yeah! Huyo ana matusi sana. Sijui kwanini hawampi adhabu kubwa.
Sisi wa huku buza hatuna Dstv sijui hata tufatilie wapi?
Niko mtaani ngoja nikawahi set ya tatu home. Tangu Sharapova abambwe na dawa za kuongeza nguvu amekuwa sharapovu. Halep akitolewa itakuwa bomba sana.
Hahahhahh atacheza baadae jioni hii saa moja.Nick is my guy [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yani tatizo ni mgomvi sana. Lazima agombane na refa au mashabiki. Hiyo inamuharibia sana, hadi kipaji chake kinakua hakionekani. Majuzi tu amepigwa fine ya dola laki moja. Yuko talented sana. Very entertaining mechi zake.
Iam sad katoka. Thiem na yeye naona ni mzuri sana kwenye uwanja wa vumbi.Hapa pagumu ana watemi wake. Kama namuona Rafa kwenye final.Thiem out! Hii sijapenda kabisa! Thiem nilimtegemea kufika mbali sana. Na Tsitsipasi nilimtabiria kufika mbali pia out. Mambo magumu sana.
This guy is sick.Nick is my guy [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yani tatizo ni mgomvi sana. Lazima agombane na refa au mashabiki. Hiyo inamuharibia sana, hadi kipaji chake kinakua hakionekani. Majuzi tu amepigwa fine ya dola laki moja. Yuko talented sana. Very entertaining mechi zake.
Hakuna mchezaji hapoHahahhahh atacheza baadae jioni hii saa moja.
Iam sad katoka. Thiem na yeye naona ni mzuri sana kwenye uwanja wa vumbi.Hapa pagumu ana watemi wake. Kama namuona Rafa kwenye final.
Great comeback.
Caro Wozniacki, Next ni Collins mechi ngumu sana sana.
#TeamWozForever.
Hakuna mchezaji hapo
Bad attitude
Lack of discipline
Too much talking
Thiem out! Hii sijapenda kabisa! Thiem nilimtegemea kufika mbali sana. Na Tsitsipasi nilimtabiria kufika mbali pia out. Mambo magumu sana.
This guy is sick.
This guy needs help
Kyrgios needs mental help.
Nick is my guy [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yani tatizo ni mgomvi sana. Lazima agombane na refa au mashabiki. Hiyo inamuharibia sana, hadi kipaji chake kinakua hakionekani. Majuzi tu amepigwa fine ya dola laki moja. Yuko talented sana. Very entertaining mechi zake.
Victoire umenikumbusha Henini, yule dada alimtesa Serena, kalikua kana jeuri flani hivi. Kalikua na back hand kama ya Roger. Nilikua sikafagilii, i liked Kim Klijsters miaka ile, she was humble, nilisikitika ali retire mapema sana Kim.