Dim Ray
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 320
- 249
Habari zenu wana jamvi ,matumaini yangu muwazima wa afya .Kutokana na janga ya Corona lililopelekea kufungwa kwa shule kwa siku 30 , nimeingiwa na mawazo mengi sana na hatimaye nikaamua tu nipoteze mawazo nimeusikiliza wimbo wa Teni wa Uyo Meyo ,lakini katika hali isiyo ya kawaida machozi yananidondoka sijajua ni nini ,ila hali ya sasa ya corona imenigusa pabaya 😥😥😥😢😢