Tanzania Tech
JF-Expert Member
- Dec 8, 2016
- 355
- 276
Habari wana JF, Kwanza heri ya mwaka mpya najua ni muda umepita toka tujumuike pamoja lakini bila shako wote mnaendelea vizuri kusongesha gurudumu la Jamii Forum kwa uzuri kabisa.
Basi kwa leo nina waletea njia mpya ambayo itakusaidia kuweza kutengeneza App ya mfumo wa Android kwa kutumia simu yako ya mkononi. Kwa kuanza ni vyema ukajua vitu vya muhimu ambavyo ni lazima kuwa navyo na hivyo ni -

- Simu ya Android
- Data au Internet angalau MB 300 na kuendelea
- Na ni rahisi kutumia kisakuzi cha Google Chrome