M Mkali Tricks JF-Expert Member Joined Aug 18, 2017 Posts 488 Reaction score 311 Oct 10, 2017 #1 AS SALAAM 'ALAYKUM WARAHMATULLAAHI WABARAKAATUH. Husika na kichwa habari, Hivyo basi ili kufanikisha hill, huna budi kutazama video hapo chini Ahsanteni Sana.
AS SALAAM 'ALAYKUM WARAHMATULLAAHI WABARAKAATUH. Husika na kichwa habari, Hivyo basi ili kufanikisha hill, huna budi kutazama video hapo chini Ahsanteni Sana.
Mwifwa JF-Expert Member Joined Apr 3, 2017 Posts 48,768 Reaction score 126,701 Oct 10, 2017 #2 Ahsante sana
M Mkali Tricks JF-Expert Member Joined Aug 18, 2017 Posts 488 Reaction score 311 Oct 10, 2017 Thread starter #3 Mwifwa said: Ahsante sana Click to expand... Karibu Tena.
Mtangoo JF-Expert Member Joined Oct 25, 2012 Posts 6,163 Reaction score 5,623 Oct 11, 2017 #4 Umeshatengeneza app ngapi kwa kutumia hiyo video?
maringeni JF-Expert Member Joined Oct 8, 2013 Posts 3,197 Reaction score 3,901 Oct 11, 2017 #5 Ukianza uzi kama ulivyofanya kwa kiarabu ushanput off kabisaaa
Cannabis JF-Expert Member Joined Jan 20, 2014 Posts 14,228 Reaction score 40,716 Oct 11, 2017 #6 Stefano Mtangoo said: Umeshatengeneza app ngapi kwa kutumia hiyo video? Click to expand... Nasubiri jibu la hili swali kwa umakini sana
Stefano Mtangoo said: Umeshatengeneza app ngapi kwa kutumia hiyo video? Click to expand... Nasubiri jibu la hili swali kwa umakini sana
M Mkali Tricks JF-Expert Member Joined Aug 18, 2017 Posts 488 Reaction score 311 Oct 11, 2017 Thread starter #7 Stefano Mtangoo said: Umeshatengeneza app ngapi kwa kutumia hiyo video? Click to expand... Mingi
M Mkali Tricks JF-Expert Member Joined Aug 18, 2017 Posts 488 Reaction score 311 Oct 11, 2017 Thread starter #8 maringeni said: Ukianza uzi kama ulivyofanya kwa kiarabu ushanput off kabisaaa Click to expand... Sawa
maringeni said: Ukianza uzi kama ulivyofanya kwa kiarabu ushanput off kabisaaa Click to expand... Sawa
Abdul Bilal Member Joined Jul 29, 2017 Posts 88 Reaction score 15 Oct 12, 2017 #9 Kwa nilivyoelewa ni kwamba hiyo siyo App bali ni shortcut ya kuingia kwenye site. Bali tu wamekuwekea na icon pamoja na kuibadili jina.
Kwa nilivyoelewa ni kwamba hiyo siyo App bali ni shortcut ya kuingia kwenye site. Bali tu wamekuwekea na icon pamoja na kuibadili jina.
M Mkali Tricks JF-Expert Member Joined Aug 18, 2017 Posts 488 Reaction score 311 Oct 12, 2017 Thread starter #10 Abdul Bilal said: Kwa nilivyoelewa ni kwamba hiyo siyo App bali ni shortcut ya kuingia kwenye site. Bali tu wamekuwekea na icon pamoja na kuibadili jina. Click to expand... OK but you didn't know.
Abdul Bilal said: Kwa nilivyoelewa ni kwamba hiyo siyo App bali ni shortcut ya kuingia kwenye site. Bali tu wamekuwekea na icon pamoja na kuibadili jina. Click to expand... OK but you didn't know.