Tendwa,pinda kasomeni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tendwa,pinda kasomeni

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by SOKON 1, Mar 30, 2011.

 1. SOKON 1

  SOKON 1 JF-Expert Member

  #1
  Mar 30, 2011
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 1,115
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Msajili John Tendwa na waziri mkuu Mizengo Pinda kasomeni wasia wa mwalimu Nyerere kwa ccm alioutoa 16/08/1990 alisema 'Chama chetu si chombo cha uchaguzi kinachowashwa wakati wa uchaguzi na kuzimwa baada ya uchaguzi bali ni chama cha uongozi wa kila siku na wakati wote'

  MY TAKE;

  CHADEMA endeleeni na moyo uwo uwo wa kujali na kudhamini maisha ya watanzania kwa kuzungumza nao pale panapobidi.
  Nawatakia afya njema viongozi wa chadema na kutowasikiliza Tendwa na Pinda kwani bado wapo gizani hawajui walisemalo.

  Nawasilisha
   
Loading...