Elections 2010 Tendwa kwanini CCM wanafanya kampeni usiku?

Kachanchabuseta

JF-Expert Member
Mar 8, 2010
7,269
675
Mpaka sasa hivi kilaza wetu tendwa amelala vijana wake wanavinja sheria za uchaguzi, huyu tendwa atakuja kuleta vurugu katika uchaguzi unaoendelea.

Leo nimeangalia ITV nikamuana Godbless lema akisema CCM wanapika kampeni usiku sa mbili huku muda wa kampeni ukiwa umeisha, Twende wetu kimya

Juzi Jmosi nilikuwa kwenye site yangu huko kinyerezi nikawa naulizia mafundi wangu hivi huku segerea nani ana nguvu, wakaniambia yule wa chadema wakawa hawakumbuki jina moja ndo akakumbuka, nikawauliza vipi mbona wa CCM wanasema ana nguvu?

Wakasema hapana kwanza yule hajawai kuonekana mchana anapiga kampeni kuanzia saa2 usiku. na wakasema huyu hana jipya mana amwekuwepo toke kipindi cha nyerere na hajafanya lolote huku segerea. Hapa walikuwa wanamzungumzia Makongoro Mahanga

Wanasegerea waliniambia Makongoro Mahanga akianza kampeni usiku anapita nyumba kwa nyumba na anawapa elfu 40,000 na simu moja na t-shirt. Hapa mimi niliwaasa wapokee hizo hela na kura wampigie mtu makini tena nikawasisitizia pokeeni hizo hela na mmusindikize then fanya mambo tarehe 31

Mytake

Kwanini tendwa anawaacha ccm wavunje sheria za uchaguzi? Na kikwete mwenyewe anavunja sheria alizosihini
 
Kwa mujubu wa tendwa, CCM hawavunji sheria. Ndiyo maana alijaribu kusema "Tumekubaliana (kati ya CCM na Tendwa) kuwa kampeni zitakuwa zinaendelea mpaka saa moja usiku! NEC wakaja juu!!

Wakati CCM hutoa rushwa kila siku katika kampeni kwa kuwalipa watu wote wanaowaleta kwenye mikutano yao, Tendwa anawalaumu maaskofu kuwambia wanaopokea wale lakini wasiwachague (hao walio toa). Hapo tendwa anaona maaskofu na siyo CCM.

So Tendwa ni wakiri wa CCM katika uvunjaji wa sheria hizi.
 
hapa manyoni taxi 5 zilikodiwa na kuwekwa bendera za ccm kunogesha msafara wa jk aliyekuja na helkopta 3 zikiongozana acha vx na v8,na bado linasema elimu bure haiwezekani
 
Jamani, mi sishangai kashaTENDWA kuwa upande wa JK kwani yeye pia ameteuliwa naye..... lazima alambe viatu vya bosi
 
Jamani, mi sishangai kashaTENDWA kuwa upande wa JK kwani yeye pia ameteuliwa naye..... lazima alambe viatu vya bosi

tendwa amekosa uzalendo na busara tu,kwa umri wake hapaswi kufanya anayofanya.ila take my words guyz,lazima historia itamuhukumu
 
Tendwa anampango wa kuwaengua ambao hawataza fomu za gharama za uchaguzi na lazima muelewe walengwa ni nje ya ccm kwa kuwa ikiwa haya ya dhahiri hachukui hatua yoyote sasa hayo ambayo yeye tu ndoi anayaona si ataamua kuwaengua pale ambapo wameshinda. Ni wajibu wa vyama vya upinzani kuhakikisha kuwa hizo fomu zinajazwa na kuweka kumbukumbu kuepuka mtego wa Tendwa vinginevyo atatuondolea wabunge wetu na wateule wetu tunaowataka.
 
Tendwa ipo siku utajahama nchi hii kwa aibu hasa baada ya Dr Slaa kuingia madarakani tutakuteua kuwa mwalimu mkuu mtakuja primary school
 
Mpaka sasa hivi kilaza wetu tendwa amelala vijana wake wanavinja sheria za uchaguzi, huyu tendwa atakuja kuleta vurugu katika uchaguzi unaoendelea.

Leo nimeangalia ITV nikamuana Godbless lema akisema CCM wanapika kampeni usiku sa mbili huku muda wa kampeni ukiwa umeisha, Twende wetu kimya

Juzi Jmosi nilikuwa kwenye site yangu huko kinyerezi nikawa naulizia mafundi wangu hivi huku segerea nani ana nguvu, wakaniambia yule wa chadema wakawa hawakumbuki jina moja ndo akakumbuka, nikawauliza vipi mbona wa CCM wanasema ana nguvu?

Wakasema hapana kwanza yule hajawai kuonekana mchana anapiga kampeni kuanzia saa2 usiku. na wakasema huyu hana jipya mana amwekuwepo toke kipindi cha nyerere na hajafanya lolote huku segerea. Hapa walikuwa wanamzungumzia Makongoro Mahanga

Wanasegerea waliniambia Makongoro Mahanga akianza kampeni usiku anapita nyumba kwa nyumba na anawapa elfu 40,000 na simu moja na t-shirt. Hapa mimi niliwaasa wapokee hizo hela na kura wampigie mtu makini tena nikawasisitizia pokeeni hizo hela na mmusindikize then fanya mambo tarehe 31

Mytake

Kwanini tendwa anawaacha ccm wavunje sheria za uchaguzi? Na kikwete mwenyewe anavunja sheria alizosihini

Hivi ni kweli kwa umri wa Makongoro alikuwepo enzi za Nyerere?
 
Tusimsubiri Tendwa. Wewe ukiowaona usiku, piga mayowe, kamata, peleka polisi. Mbona kule Mbeya walimfanyia hivyo yule Mwakalinga?
 
Katika makubaliano mapya yaliyosimamiwa na TENDWA, vyama vyote vimekubaliana kuwa rushwa isizidi elfu hamsini.

Najaribu kufikiria statement atakayokuja nayo TENDWA
 
Hivi mliona lini mbwa anambwakia mwenye nyumba kwa kurudi usiku? Tendwa si mbwa tu kwa CCM? Atamubwakiaje anayempikia? Hata ikitokea akabwaka kwa bahati mbaya lazima atatafuta namna ya kuomba msamaha. Si unajua tena? Ukijua tabia ya mbwa basi huna haja ya kumshangaa Tendwa.
 
Back
Top Bottom