Tendo la ndoa wakati wa uchumba!

fyddell

JF-Expert Member
Dec 19, 2011
11,109
19,993
Napenda kuuliza kwamba

kufanya tendo la ndoa mara kwa mara na mchumba yaweza kusababisha kumchoka mapema kabla ya ndoa?
 
Kwahiyo wataka kuniaminisha kuwa kwa hata wale walio ndani ya ndoa wanachokana na kutafuta mibadala? Au kipi haswa chaweza kufanyika kuzuia kutomchoka mpenzi wangu?

ni kweli kabisa
 
Inategemea mkuu. Kuchoka au kutokuchoka ni tuning ya akili tu. Kuna wengine wanachokana hata kabla ya kufanya hilo litendo lenu.
 
Napenda kuuliza kwamba

kufanya tendo la ndoa mara kwa mara na mchumba yaweza kusababisha kumchoka mapema kabla ya ndoa?

Kama kuna uwezekano wa kumchoka kabla ya ndoa basi pia kuna uwezekano wa kumchoka ndani ya ndoa. Na kama huwa unawachoka ambao unatembea nao jua pia utamchoka mkeo/mmeo. Ndoa ni kufanya uamuzi wa kuishi na mwenza katika hali zote za kuchokana na kutochokana, n.k.
 
Napenda kuuliza kwamba

kufanya tendo la ndoa mara kwa mara na mchumba yaweza kusababisha kumchoka mapema kabla ya ndoa?
Bora umchoke kabla ya ndoa kuliko kumchoka ndoani. Huko kitufe cha 'undo' kilitolewa kikawekwa cha 'refresh'...
 
Inategemea na watu na watu. Kama utamu umepitiliza kiasi basi penzi ndio linazidi kupamba moto na hatimaye wote kuona umuhimu wa kuwa pamoja kama kila mmoja ameridhika na tabia za mwenzie.



 
Last edited by a moderator:
ukweli ni kwamba kumzooea mchumba wako kupita kias utadhan kesha kuwa mmeo c jambo la busara lazma utofautishe mme na mchumba; uckatishwe tamaaa na waliyokwisha kata tamaaa tunza thaman ya utu wako ili uonekane mpya kila cku kwa mtarajiwa wako ijapokuwa kila mtu ana mtazamo wake ila kwa kiac hii itakuweka upande salama sio kuchezea mwili wako kisha uambiwe haiwezekan tena ww na yy kufunga pingu za maisha:
 
kama unaogopa ku sex na kuchokana kipindi cha uchumba ambacho ni kifupi, Je mkishaona hamtachokana ?maana hapo ni sex for the rest of your life.
 
Back
Top Bottom