Tendo la ndoa ni la kishenzi

sio lazima wote tuwe wanamuziki bana!wengine tununue CD'z tu!
argh!
 
Ujampata duu wa ukweli wewe njoo tanga kuna duu nishakula kwanza alikuwa akivaa shanga kiunoni kwenye majambozi anakatika balaa anazungusha kiuno dushelele ikiwa ndani kwenye 'k' yaani acha tu, utamu wa asali utaujua mpaka uonje.
 
Du! Si kila siri inafaa kuelezea hazala ww fanya kimya kimya alf kuwa mpole sana.

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Mkuu Mazindu Msambule,
Kuna vitu kwenye Biblia Takatifu, vimewekwa kwa mafumbo.
Kumbe hujui tunda lililokatazwa?!. Unafikiri lilikuwa ni tunda kweli?.
Lile lilikuwa tendo!.

Bikira Maria alikingiwa dhambi ya asili wakati tuu wa kupokea mimba ya Yesu, yaani Yesu sio product ya dhambi ya asili, Bikira Maria alikingiwa hiyo dhambi kwa kupata mimba kwa uwezo wa Roho Mtakatifu bila tendo la ndoa kufanyika!. Wakatoliki tunaendelea kumuita Bikira Maria kwa reference tuu ile ya Mama wa Yesu japo nakiri kufahamu baada ya uzazi wa Yesu, waliendelea na maisha yao ya ndoa kama kawaida na miongoni mwa wafuasi 12 wa Yesu, Andrea na Yohana ni wadogo zake!.

Niliwahi kulizungumzia hili huko nyuma, naomba take your time kunisoma kuhusu hoja hii hapa HAPA na kwa faida ya wengi, nimeji quote.
 
Kweli kuana watu wamedata kunizidi looh kila nikitaka kuandika najikuta wamenizidi mdato, jf raha kweli kweli hahahahhaaa nicheke mie nnenepe kununa kwangu mwiko hahaaaaaaaa
 
Some of the ideas that need reflection for the coming week....
 
ushenzi ni nini? Nijuavyo mimi hili ni tendo la siri ya walitendao lawezatendwa kistaarabu au kishenzi lakini lenyewe halihusiki na ushenzi wala ustaarabu wa walitendao. "most of the things we call evil are neutral our intensions and the way we approach them make them evil". Kiswahili tunasema hakuna neno ambalo ni tusi vile tunavyolisema na pale tunapolisemea ndio hulifanya tusi au la.
 
he mae iko na shida gani yaani na utamu wote ule unasema la kipuuzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…