Tendo la Ndoa kabla ya Ndoa

Tendo la Ndoa kabla ya Ndoa

Ingawa kwa upande wangu binafsi naamini kuwa kuna kitu muhimu sana kilichokosekana miongoni mwetu vijana kinaitwa...HOFU YA MUNGU.
 
Wapenzi hufanya mapenzi, Wanandoa hufanya tendo la ndoa. Mengine ni maamuzi tu.
 
Kijana yoyote hata akisema haoni umuhimu wa ndoa we mwangalie tu..ila akifika age 30's utu uzima unakuja kasi lazima ukumbuke ndoa wengine inakuwa too late..wengine wanabahatika kuoa/kuolewa ...Ndoa inaheshima yake japo siku hizi imekuwa kama kitu cha kawaida watu hawakitilii maanani na ni hii inatokana na mmonyoko wa Maadili
 
Wasalaam vijana wenzangu.
Mada ilo hapo juu yahusika.
Katika ulimwengu huu ya science na technolojia, swala la kufanya ngono/ tendo la ndoa kabla ya ndoa limeonekana la kawaida sana.
Vijana tumehalalisha zinaa kama vile ni halali kwetu. Tumemsahau Mungu na kuona ni jambo la kawaida na Ni haki yetu kulifanya.

Pengine twaweza sema ni technolojia ya sasa ndo inatufanya hvo, lakini mbaya zaidi ni kwamba hata vijana waliokulia vijijini ambao kwa namna moja ama nyingne technolojia hii haijawafikia kwa kiasi kikubwa nao pia wamekuwa wahanga Wa hili tatizo sugu kuliko hata neno sugu lenyewe.

Ndio maana vijana wengi sasa hawana mpango Wa kuoana kwa sababu tendo lililokua likiheshimiwa na kusubiliwa hadi wakati Wa ndoa tu, sasa linapatikana kiholelaholela.

Ndoa nyingi hazidumu kwa sababu vijana wameondoa mibaraka ya Mungu kwenye ndoa zao wakati wa urafiki na uchumba. Ndio maana hata ndoa nyingi wanandoa hawaridhiki na mke/ mume katika ile Huduma kwa sababu wanalinganisha wenzi wao wa sasa na wa zamani,, ikitokea Wa zamani alikua akimridhisha sana, hapo ndipo sasa usaliti ama uchepukaji kwa lugha ya sasa huanzia.

Vijana, tukumbuke kuwa miili yetu Ni hekalu la Roho mtakatifu akaaye ndani yetu.
Tuvadilikeni na kumrudia Mungu maana saa yake ya kuhukumu ulimwengu yaja upesi...!!!!

Sasa, mada nahc imeeleweka. Jamani, tatzo liko wapi hata tushindwe kuvumilia hadi kwenye ndoa zetu??????
Hongera zako binti. Wewe umeweza? Kama kweli nakupongeza sana.
 
tulikuwa pamoja mwanzo lkn nilipoona unasema roho mtakatifu nikaona walewale wanaosema lkn hawavifati jmn kwan si ndo nyie mnaobariki ndoa baaada ya watu kubanjukq sn achen zenu
 
Mimi nilikuwa natafuna wengine tu,ila msichana niliyekuwa nataka kumuoa sikumgusa mpk nimemuoa na nikakuta bikra,were wereeeeeee
 
Ukiishi na mwanamke kwa miezi sita anakuwa mkeo kisheria (hamzini) na nkiachana mnapaswa kugawana Mali.
 
Kwa hali ya sasa ilivyo.,ngumu sana vijana kusubiri cku ya ndoa ndio tendo lianze..,
 
Pagumu hapo..Mwili ukifikia hatua ya kuhitaji mwenza ni ngumu sana kuuzuia labda uwe umeokoka na smtm hata hao waliookoka nao huwa yanawashinda. Ukichanganya na utandawazi kwa kweli mambo yanakua magumu,wadada siku hizi wanavyovaa ni shidaaa tupu basi watu wanajikuta washazini kabla ya ndoa. Maombezi yanahitajika hakuna namna
 
Ati nini? tuvumilie mpaka ndoa ndo tugegedane? aaah! wapi nani kasema? hiyo ni ngumu sana tena saaaaana aiseee!!

Kwanza unaanzaje kujizuia kula wakati chakula unakiona mezani? yani una mzuka ile mbaya itavumiliaje? acheni kuzingua

Yaani ni bora umkosee Mungu kuliko kukosea kuoa au kuolewa. so must kujuana before. unaolewa unaoa mtu unaemfahamu in and out ndo habari ya mjini. lah sivyo utaoa then unamkuta mke hana tundu la mgegedo, au mume ana jinsia mbili sijui utafanye sasa na ndoa ishafungwa hivo. si utalia na kusaga meno!

Hiyo ya kuvumilia msigegedane mpaka ndoa ilikuwa enzi za akina Nabii Musa na sio sasa kizazi cha .com
 
Mabinti wengi sku hizi wamegundua kitu cha ajabu sana kwenye papuchi zao wanaweka ugolo, mirundi au kuba ili kupungiza ukubwa sku ukikutana nae unazani inataiti badae sasa asipoweka ni balaa bora uonje kadri uwezavyo lasivyo utauziwa mbuzi kwenye gunia
 
Comments tu inaonyesha Dini zetu hatuzifati na ile hofu ya Mungu haipo tena
 
Mleta mada umeongea na kizazi kilichoharibikiwa. Unapoteza mda wako.
 
Back
Top Bottom