tendo la kujamiina

tendo la kujamiina

kama unashindwa kujizuia sasa utahindwa kujizuia baadae na utakuwa mchezo wako hata ukioa,ikitokea mkeo yupo kwenye maradhi au ametoka kujifungua umesema madem wa mtaani walaini,maharage ya mbeya hayo maji mara moja ushauri wangu usiyatumie by the way unaharibu c.v yako na pia unajitafutia risk ya maradhi.
 
Umejiunga JF tarehe 25 Feb. 2014. Unaonesha mgeni sana kukurupukia JF na PEPO lako la NGONO....Nakushauri UOKOKE.

Seriously??Is this about when he joined jf??there was no point there,except for hyo kumshauri aokoke.
Ulitaka akae mpaka mwaka kesho 2015 ndo aombe ushauri?be reasonable sio kumfumukia tuu mtu
 
Back
Top Bottom