M mand1312 Member Joined Aug 3, 2017 Posts 12 Reaction score 2 Jan 13, 2018 #1 Habari ,kuna tender ya kusupply nyama ya nguruwe 300kg kila baada ya 2days at price 4500/kg moshi kilimanjaro Mtu yeyote mwenye uwezo kusupply kiasi icho au atleast 100kg anifwate pm
Habari ,kuna tender ya kusupply nyama ya nguruwe 300kg kila baada ya 2days at price 4500/kg moshi kilimanjaro Mtu yeyote mwenye uwezo kusupply kiasi icho au atleast 100kg anifwate pm
G GOOD-GOOD Member Joined May 23, 2015 Posts 10 Reaction score 0 Jan 13, 2018 #2 Nitumie namba yako ya cm kwenye pm tuongee bznez tafadhal
M maharage ya ukweni JF-Expert Member Joined Aug 25, 2016 Posts 1,416 Reaction score 3,236 Jan 13, 2018 #3 Bibi FAIZA FOXY njoo huku soko ya bidhaa yako limepatikana tena ni la uhakika
M mand1312 Member Joined Aug 3, 2017 Posts 12 Reaction score 2 Jan 13, 2018 Thread starter #4 GOOD-GOOD said: Nitumie namba yako ya cm kwenye pm tuongee bznez tafadhal Click to expand... 0713879793
GOOD-GOOD said: Nitumie namba yako ya cm kwenye pm tuongee bznez tafadhal Click to expand... 0713879793