Natafuta mtu wa kunikabiz gari aina ya noah niigie nae mkataba hata kama chini ya Mwanasheria,kwa hesabu ya elf Tsh. 30000/: kwa kila siku. Kazi yake nikuibebea na kusambazia vifaa vya maofisini na masiteishenari.Kwa ambae yuko tayari tuwasiliane kwa no: 0657-610505 tufanye kazi.Niko Dar es salaam ,Mabibo jeshini.